Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Masaa 16 = Masaa 12 yatatumika usiku... Muda ambao ungekua umelala na kimuhemuhe cha kufika ubungo alfajiri usiachwe na bus... ikifika alfajiri umebakiza masaa 2 kufika moshi na kuendelea na shughuli. Wakati waliopanda bus wako zao msata. Me naona ni usafiri wa tija sana.
 
Hii treni pia inabeba mizigo ya private,mfano ndizi,viazi etc?
 
Acha kuwa na mawazo ya mgando
Usafiri wa treni una raha yake
Ila bado wapo wale wakatao tumia private car

Ova
Jamaa mshamba hajui kwamba kwenye treni unaweza kununua kijiroom na mbebe huku unasukuma beer
 
Wewe ni mwongo sana

Tren inaondoka jioni inafika Moshi asubuhi

Wastani wa masaa 15 hadi 16

Tren ya kwenda Moshi haina vituo vingi vya kusimama
Haiwezi kuchelewa

Hivi unajua kuwa tren inaondoka km basi spid yake
Sio masaa 16 mkuu

Ni masaa 48 siku mbili kavu

Nani apakie hayo mavi!?
 
Wale waliokuwa wanatabiri sijui wako wapi eti wachaga hawawezitumia treni ona sasa hadi aibu poleni sana na mtoa Mada ukiwemoo.
HAO NI WALE WALANGUZI WA TIKETI PALE UBUNGO NA WENYE VIAICE ULE ULAJI WA DECEMBA KWISHA. Nashauri waongeze behewa maradufu na injini mbili maana mwezi huu wasafiri ni wengi kwenda huko. Kitu kizuri ni kuwa wameanzia KITUO KAMATA PALE KARIAKOO ambapo mabasi yanaishia na kuondoka kwa maeneoMENGI ya jiji. MMEANGALIA USUMBUFU WA KWENDA AU KUTOKA STESHENI KUTOKA MAENEO MBALIMBALI? HIYO SGR INGEANZIA HAPO AU VIPI JAMANI KWA WANYONGE TU.WENGINE HAMHUSIKI
 
Pamoja.
 
Treni iliyo stop trip mwaka 1994 ndio niliyopakia mwaka 1992 kuja Dar kwa mara ya kwanza!

Ilitumia 3 days kufika!

Kwa muda wa kiungwana ni 48hrs kama nakua generous sana!

Hutaki acha
Watu walioondoka jana jion leo 7:30 wamefika, jion inanyua kuja huku, kesho asubuh iko hapa, jion inaondoka tena
tapatalk_1575701246531.jpeg
 
Back
Top Bottom