tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,400
- 3,705
Mkuu una utajiti kiasi gani maana inaonekana unaingiza pesa ya kutoshaHayo masaa 16 anazalisha pesa nyingi sana kuliko kuyapoteza kwenye usafiri.
Mkuu una utajiti kiasi gani maana inaonekana unaingiza pesa ya kutoshaHayo masaa 16 anazalisha pesa nyingi sana kuliko kuyapoteza kwenye usafiri.
Unamatatizo mkuu, haijawah kusimama hata mara moja, asubuh trip tatu jion tatuTreni ipi ya Mwakyembe inafanya kazi!?
Nothing to be seen!
Mkuu watu humu wanajifanya wajuaji sana lakini kiukweli hakuna bus inafikaga moshi kwa Massa 5-7 wanayosema wao hiyo ilikuaga zamaniLeo hii nimepakia dogo ameenda moshi, wamefika saa tisa , bus imeondoka saa KUMI NA NUSU usiku/alfajiri...(mabus yanayopak nje ya stand)...hakuna bus ya kuondoka saa 6:00 ikafika huko muda huo, labda iwe ya Magu
Arusha ufike saa nane that means moshi umepita saa saba ... Thubutu...hii ilikua inawezekana kabla ya tochi tu
Itafika mkuu kipande cha Arusha Moshi kipo kwenye matengenezo.Hiyo treni si ingefika kabisa hadi Arusha ili ibebe na wanaoenda huko.
Usibishane na huyu jamaa anajifanya anajua kila kitu kumbe hata moshi hajawahi fika.Unamatatizo mkuu, haijawah kusimama hata mara moja, asubuh trip tatu jion tatu
Tazara -mwakanga
Gerezan --pugu mnadani na ile ya inayopita mwananch hapo, zote tatu zinapiga trip 6 ..tatu asubuh tatu usiku
Si ndo apo Aise dah...Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana hata hapa dsm haishiUsibishane na huyu jamaa anajifanya anajua kila kitu kumbe hata moshi hajawahi fika.
Mwananchi au?Mtoa mada una akili timamu kweli?
Tatizo sio kusave tatizo ni hadhi ya iyo 19k ya anako kaa msafiri,Muda na hadi kufikaWewe Ndio mshamba tren zipo kila Nchi Duniani
Masaa 16 hadi Moshi kwa elfu kumi na sita hapo abiria ana save zaidi ya elfu 15
Acheni kujifanya nyie mna jua sana
[emoji23][emoji23][emoji23] acha basi kuwaza mambo usiyoyajua, ni nchi Gani Ulaya wanasafiria treni kama hiyo ya Dar To Moshi?
Au umekurupuka tu kiongozi,
Possibly unavyosikia Ulaya wanasafiria treni unajenga picha ya hizi ngarangara za huku...
Unamatatizo mkuu, haijawah kusimama hata mara moja, asubuh trip tatu jion tatu
Tazara -mwakanga
Gerezan --pugu mnadani na ile ya inayopita mwananch hapo, zote tatu zinapiga trip 6 ..tatu asubuh tatu usiku
Inaonekana hii treni imekuaharibia mambo yako kabisa maana unapinga mpaka unashangaza.And who is boarding that shitty garbage of a rugged ass locomotive?
Thats piece of crap!
Mkuu tuongelee real problems za usafiri nchi hii na tuache hizi sanaa za haya magogo kujitafutia umaarufu wa kipumbavu
Maana commercially that train dont make any profit!
Do not make any economic sense at all!
Hii nchi ni total welfare state
Mkuu, ni zinapakia haswa ...hadi mlangon wana ning'inia , zinapakia kweli kweliAnd who is boarding that shitty garbage of a rugged ass locomotive?
Thats piece of crap!
Mkuu tuongelee real problems za usafiri nchi hii na tuache hizi sanaa za haya magogo kujitafutia umaarufu wa kipumbavu
Maana commercially that train dont make any profit!
Do not make any economic sense at all!
Hii nchi ni total welfare state
Inaonekana hii treni imekuaharibia mambo yako kabisa maana unapinga mpaka unashangaza.
Mkuu, ni zinapakia haswa ...hadi mlangon wana ning'inia , zinapakia kweli kweli
Yani kabisa nikakae nipige picha ?hahaha sifanyi huo ujingaZa Dar walao unaweza kusema labda!
Mimi bjnafsi sijazishuhudia,mpaka uweke evidence hapa sio maneno!
Ila treni ya kwenda Moshi??????
Itakufa tu kama wanategemea abiria,labda mizigo!
Na mizigo kutoka Moshi kuja Dar hakuna nowadays maana kahawa ilishakufa long time ago!
Nothing is coming outta Moshi anymore!
Nothing!
hivi unayajua masaa 19 wewe?Usafiri wa kwenda Moshi ni jioni unafika asubuhi
Je kuna musa gani hapo unapoteza?