Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Heshima yako mzee
Hahahaaa Mkuu 1984 mbona ni juzi tu sio muda mrefu??? 1984 Ndio Nyerere alikuwa anamalizia Urais ,1985 Akaingia Mwinyi...Ukienda hivyo hivyo 1995 Akaingia Mkapa ,2005 Akingia Kikwete ,2015 Akaingia CHUMA,sasa si umeona ni Juzi tu???
 
Bajeti ya kula kwa line ya moshi ni kubwa kwa wanaosafiri kwa bus

Kwa tren inayoondoka jioni na kufika asubuhi Sidhani kama bajeti ya kula itakuwa kubwa
Usisahau atakula mara ngapi kwa masaa hayo na atakunywa mara ngapi? Bila kusahau na muda alioupoteza. Utakuta nauli ni nafuu lakini katumia zaidi ya aliyepanda basi.

"Cheap is expensive".
 
= thamani

Mimi Mtanzania wa kupachikwa tu, mimi ni Mtanganyika. Kumbuka hilo kijana.

Thamani ya muda haipo kwenye "pesa" kijana, thamani ya muda ni "priceless".

Kama hauijuwi maana yake nini basi itafute.

Iliwa huielewi thamani ya muda utakuwa hata miadi huielewi thamani yake.

Pole sana.
Hongera kwako
Acha sisi wapanda treni tuendelee kufarijiana.
 
Hardly ni masaa 13 na nusu tu. Inatoka Dar saa kumi kamili moshi inafika saa 11 na nusu alfajiri. Wakizoea njia itakuwa ni masaa 12 tu tena inatembea usiku.
Wameripoti wenyewe, kuwa wametumia saa 19.
Wewe unabisha
 
Ww jamaa ni msengerema kweli kwani ni wote wana magari? wengine walikua wanaenda kwa mafuso sasa si bora wapande treni kwa bei chee.... acheni fitina tunashukuru sana
 
Hardly ni masaa 13 na nusu tu. Inatoka Dar saa kumi kamili moshi inafika saa 11 na nusu alfajiri. Wakizoea njia itakuwa ni masaa 12 tu tena inatembea usiku.
Soma hapo mkuu.
Halafu mkurugenzi mwenyewe kapanda ndege... Wonders
Screenshot_2019-12-08-06-20-11-80.jpeg
 
Ww jamaa ni msengerema kweli kwani ni wote wana magari? wengine walikua wanaenda kwa mafuso sasa si bora wapande treni kwa bei chee.... acheni fitina tunashukuru sana
Msengerema ni wewe na huyu jamaa hapa Chini, anawaaminisha watu kuwa ni usafiri salama halafu yeye hataki kuupanda.
Tena unasema kabisa nimekuja kwa ndege.
Kwa maneno haya huu usafiri sio salama
IMG_20191208_062633.jpeg
 
  • Mshangao
Reactions: rr4
Mkuu unachekesha sana kwa ushamba.. YUTONG ndio unaona ni mabasi ya luxury..!! Daah aisee. 🤣🤣🤣

Zina hadi usb for phone charging
Zina vyoo ndani
TV kila kiti
AC kila kiti

On top of that unafika 8hrs half ya yale magogo

Hizi ndio ufananisha na yale mabanda ya mbuzi?

Be serious wewe
 
Zina hadi usb for phone charging
Zina vyoo ndani
TV kila kiti
AC kila kiti

On top of that unafika 8hrs half ya yale magogo

Hizi ndio ufananisha na yale mabanda ya mbuzi?

Be serious wewe

Hayo nayo ni mabanda tuu hakuna bus luxury hapo wewe. Ingia kwenye uzi wa Dar lux hapo juu uone hayo makopo unayoyaona ni luxury yanachowafanya watu.
 
Kuna aina nyingi za usafiri hivyo kila mtu atapanda aina ya usafiri anaoona upo katika uwezo wake au kwa jinsi moyo wake utakavyompendeza akiamua kupanda basi sawa, akiamua kupanda gari lake binafsi sawa, akiamua kupanda treni sawa akiamua kupanda fuso sawa, akiamua kupanda mabasi sawa,
Linapokuja swala la safari inategemea muda unaotaka kuusave ww ni upi. Mtu umepanga Safari ni tarehe flani tena kwenda kuwasalimia ndugu na jamaa kikubwa ni kufika salama, swala la muda kama ni mambo ya kibiashara, interview n. K hapo sawa. sasa mtu anakuja anakwambia muda ni Mali wakat mtu anaenda kusalimia ndugu jamaa na marafik. Alafu ikumbukwe wachaga hawapo dsm tu wako sehem mbalimbali.
Vitu vingine ni wivu usiokuwa na aibu
 
Kusalimia au "kuhesabiwa"?

Usiniulize "kuhesabiwa" ni nini, sifahamu.
 
Wewe ni mwongo sana

Tren inaondoka jioni inafika Moshi asubuhi

Wastani wa masaa 15 hadi 16

Tren ya kwenda Moshi haina vituo vingi vya kusimama
Haiwezi kuchelewa

Hivi unajua kuwa tren inaondoka km basi spid yake
Ingekuwa inaondoka kama basi isingetumia 16 hours
 
Zina hadi usb for phone charging
Zina vyoo ndani
TV kila kiti
AC kila kiti

On top of that unafika 8hrs half ya yale magogo

Hizi ndio ufananisha na yale mabanda ya mbuzi?

Be serious wewe
Record ya usalama wa abiria kwenye mabasi na treni ipoje?

Halafu kwanini usipande ndege? Bonbadier zina route ya Kilimanjaro Dar kila siku, tena nahisi zaidi ya mara moja kwa siku. Utawahi zaidi.

Hapo sasa!
 
Back
Top Bottom