Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Acha kuongea pumba mkuu. Treni iliyoondoka dar jana saa 10 jioni sasa hivi tunavyoongea imeshawasili moshi saa 1:30 asubuhi hii.

Nani anasafiri masaa 14?

Kwenda Moshi ni masaa 4-7 full stop!

Na ni luxury coaches na sio vyuma chakavu hivyo!

Leo mmepata abiri kurudi wote wanarudi na mabasi

Nani apakie usenge huo?

Plus leo mmepata 14hrs,next trip ni 24 hrs and then trip ya tatu ni 48hrs

Trip kumi ni gereji moja kwa moja halirudi tena mpaka miaka 24 again!

Fvck yall motherfuckers!
 
Kuna kitu kimoja ambacho watu kama wewe hamuwezi kukielewa.

Ngoja nikupe scenario 2.

Umeitwa kwenye intavyuu moshi. Intavyuu inafanyika siku ya jumatatu. Sasa una option 2;

1. Upande basi Ubungo siku ya jumapili saa 12 asubuhi, (35,000) usafiri kutwa nzima ufike moshi saa 11 jioni. Ulale hotelini (30,000) uamke jumatatu uende kwenye intavyuu. Ulale moshi jumatatu, (30,000) uondoke jumanne asubuhi (35,000). Ushinde njiani ufike dar saa 2 usiku. Jumla = 130,000/- Muda masaa 60

2. Upande treni dar siku ya jumapili saa 10 jioni ukate ile ya ghali kabisa ya kulala (39,000) . Ufike moshi jumatatu saa moja asubuhi. Ujiandae uende kwenye intavyuu. Saa 10 jioni ukamate treni (39,000), saa mbili asubuhi jumanne uko dar unaendelea na shughuli zako. Jumla gharama = 78,000/- Muda masaa 36.
Treni inasafiri Jumanne na Jumamosi
Jumatano na Jumapili kurudi
 
TheChoji,

Nani anaendaga interview these days?

No one!

Plus hakuna mpumbavu anasafiri 14hrs!

Mabasi yanasafiri 5-7 hrs tops kufika Moshi

Leo treni mavi yenu imewapa 14hrs,kesho itawapa 24hrs

Next week ni 48hrs

And then likitoka hapo ni gereji moja kwa moja

Mkae na mbuzi na ng’ombe kwenye economy class!

Leteni bullet trains then you can come talk to me!

Hold my beer!
 
Wewe Ndio mshamba tren zipo kila Nchi Duniani

Masaa 16 hadi Moshi kwa elfu kumi na sita hapo abiria ana save zaidi ya elfu 15

Acheni kujifanya nyie mna jua sana
Cha muhimu tumpongeze Rais kwa uthubutu wa kurudisha tena usafiri wa treni nataka niwaambie kitu hakuna nchi yeyote duniani inayojitaanabisha kwenda na kasi ya viwanda na maendeleo bila usafiri wa treni pili hiyo ni moja azidishe nguvu ajenge reli mpya na za kisasa kama nchi za ulaya ,china nk ili tuweze kukuza uchumi kwa kasi zaidi kwani hao waliweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini kama mali Mungu katujaalia. I tuna kila kitu kwa pamoja tunaw eza.
 
Watu walioondoka jana jion leo 7:30 wamefika, jion inanyua kuja huku, kesho asubuh iko hapa, jion inaondoka tena View attachment 1284393

Leo inawapa 16hrs which is nonsense!

Mabasi luxury ni 5-8hrs top umefika Moshi

Sasa kesho hilo gogo litawapa 24hrs

And baada ya three trips ni back to 48hrs

And then mwezi ukiisha ni geregi moja kwa moja
 
Usafiri wa treni upo dunia nzima, treni kwenda moshi haimanishi Yale ma v8 yetu hayapo la hasha, wachaga wapo wengi Sana ndio maana kila usafiri unajaa sio ndege sio mabasi sio private cars,sio treni kwakweli wachaga wapo wengi mnooo
 
Sometimes naona ile investment iliofanyika angani ni aheri ingefanyika relini.

Tungewekewa na fast trains badala ya hili Oldschool train. Wapige SGR na wanununue fast train zile za kutembea 300km/h + kwa bei hio wengi tungemudu hata ingekuwa 50k. Ila unasafiri comfortably.
 
Haya matreni ya mwaka 1892 yataleta ajali in a minute

Wait and see

Mbwembwe hizi litazima kama ule upumbavu wa Mwakyembe!

Mavi yao
Kwahiyo unadhan treni za hapa dsm hiz za Mwakyembe hazifanyi kazi ???

Na hiyo treni ya kwenda Moshi ni mpya, behewa zimeanza kubeba abiria kwa mara ya kwanza hapa nchini jana
 
Opportunity Cost,Google maanake ni nini?.Sio wote wanaweza kula nyama wengine wanakula dagaa je wote si wamekula.Pia kipato akilingani.
 
uran, mawazo yako ni mgando. Sorry to say this mkuu, ila naamini hujatafakari kwa kina hoja yako. Kwenye aspect ya mda hapo naweza kuelewa, ilà treni ni usafiri bora kabisa duniani kote.
 
Nikiwa na nafasi na mimi ntapanda sijawahi panda treni tangu nizaliwe hahahaha mana mara ya mwisho safari kusitishwa za Dar to Moshi ndo nazaliwa hahahha
 
Hakuna bus inayosafiri masaa 7.. Zinaondoka saa 6:00 asubuh zinafika 18:00 jion na kuendelea ..ni masaa 12
Acha Uongo

Mabasi mengi yanafika Arusha saa 9 jioni
 
Cha kushauri serikali kwenye hili shirika waweke wahudumu wanyekujielewa, waliosomea customer care, ikiwezekana kazi zitolewe kwa mkataba tumechoka wahudumu wenye dharau kwenye ofisi za uma. Wakifanya hivyo hii biashara itadumu la sivyo watauwa tena maana kwa njii hii ya kwenda Moshi kuna option nyingi za usafiri na watu wa huko wengi huwa hawapendi bugudha.
 
Back
Top Bottom