Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kwahiyo unadhan treni za hapa dsm hiz za Mwakyembe hazifanyi kazi ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na hiyo treni ya kwenda Moshi ni mpya, behewa zimeanza kubeba abiria kwa mara ya kwanza hapa nchini jana

Treni ipi ya Mwakyembe inafanya kazi!?

Nothing to be seen!
 
Mkuu tutafika huko usijali tumeanaza na SGR ya speed 180pH. Ndio maana Mh Raisi anajenga Nyerere goerge ili tupate umeme wa kutosha kuendesha viwanda pamoja na treni.

Lakini inabidi kipatao cha watanzania kikue kwanza ili kuwenza kuleta usafiri wa namna hiyo maana gharama zake zitakuwa juu ili kufit gharama za uundeshaji hivyo inaweza pata abiria wachache. Yote kwa yote sifa zimuendee Mh. Raisi anafanya kazi nzuri sana tunamuomba, tu Mh. atafufulie ile reli ya Moshi Mombasa ili sasa Moshi iwe ni kitovu cha biashara huku ikijiandaa kuwa jiji.
Hii ya sasa ni Old school sana mzee na iliwahi kuwepo, Barabara zilivyokuwa nzuri zikafa automatic
 
Kumbe una midevu? mie nilidhani wewe ni demu na nilikuwa nafurahishwa sana na mada zako hivyo nilikuwa najipanga kukulia timing nikufyatue! Lol, nimesikitika sana.
Duh!..😅😅😅
 
Mkuu mbona una hasira sana na matusi wakati hapa tunajadili tu au umekua ugomvi sasa? Kama we hupandi acha, mabasi bado yapo unaweza kuendelea kupanda boss. Na usiite watu wapumbavu wakati wewe binafsi huwasaidii kwa lolote kwenye maisha yao. Unaonekana huna kitu kichwani ndio maana unaongea pumba tu. Dunia nzima usafiri wa treni ndio unaotegemewa wewe unaleta blaa blaa zako hapa.

Usafiri wa treni za aina ipi?

Be specific

Hakuna mtu anapakia treni za magogo!

Get that in your head!

Watu wana karne ya 21 wanataka speed na comfort and matreni yenu ya magogo can never provide that!

Matreni yenu do not make any economic sense kusafirisha watu labda mizigo!

Kama sio mizigo that shit is pure nonsense!

And you well know it is true!

Kuita mtu pumbavu sio kifo,nimetukana kuweka msisitizo!

Usichukulie that too far

Na pia ukitaka kuchukulia too far pia upo free,I can handle anybody on anything anytime anywhere!

Sipakii mimi,wewe pakia ukakae na mizigo!

Fvck the gogo trains!

Hold my beer that I can pull my dick in public,fvck everybody!
 
Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?

Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?

View attachment 1284152
Shida iko wapi kwani kwa awamu hii kuna lililoshindikana kama treni ushamba watapanda ndege.
 
Hakuna bus hata moja linalofika muda huo , hata moja halipo
Wewe ndio hujui nimepanda Dar express inayokwenda Nairobi, nilishuka Arusha saa nane na nusu, na ni zaidi ya mara 1
 
Na wale waliokua wanapanda coasters za kukodi na Noah na mabasi mabovu ni kina nani ? Acha ushamba unaongelea voug range wakati passo yenyewe huna kauli za majivuno tu kweli maskini haishiwi ndoto
Aliyejivuna hapo ni nani?
akili za kukurupuka......soma tena bandiko langu wewe kiazi mbatata!!
 
Kuna kitu kimoja ambacho watu kama wewe hamuwezi kukielewa.

Ngoja nikupe scenario 2.

Umeitwa kwenye intavyuu moshi. Intavyuu inafanyika siku ya jumatatu. Sasa una option 2;

1. Upande basi Ubungo siku ya jumapili saa 12 asubuhi, (35,000) usafiri kutwa nzima ufike moshi saa 11 jioni. Ulale hotelini (30,000) uamke jumatatu uende kwenye intavyuu. Ulale moshi jumatatu, (30,000) uondoke jumanne asubuhi (35,000). Ushinde njiani ufike dar saa 2 usiku. Jumla = 130,000/- Muda masaa 60

2. Upande treni dar siku ya jumapili saa 10 jioni ukate ile ya ghali kabisa ya kulala (39,000) . Ufike moshi jumatatu saa moja asubuhi. Ujiandae uende kwenye intavyuu. Saa 10 jioni ukamate treni (39,000), saa mbili asubuhi jumanne uko dar unaendelea na shughuli zako. Jumla gharama = 78,000/- Muda masaa 36.
Kwenye hizo treni zetu kama abiria ukitaka kusinzia si unasinzia vizuri kabisa mdau? Na vipi ukisinzia hakuna wizi?
 
Ng'wanamalundi, Hiyo ni london kwa mabeberu wao treni ni usafiri nafuu,hizo treni za jiwe amechukua yale mavichwa mabovu ndio katengeneza,unategemea huo usafiri kua wa hakika?utasikia mara limeharibikia porini na hiyo route linapita mbali na miji ni mombo tu ndio linapita mjini
Mbona nimepata woga wa kuzipanda.
 
Hii inanikumbusha Enzi zile za tazara
Wengine tulikuwa tunakaa kajamba Nani?
Treni ikingia kwenye turnel kunapo giza Utaskia makelele huyu kamuibia yule, mwingine kazamisha mkono mfukoni mwa mtu.... Yaani balaa tu

Ova
 
Sometimes naona ile investment iliofanyika angani ni aheri ingefanyika relini.

Tungewekewa na fast trains badala ya hili Oldschool train. Wapige SGR na wanununue fast train zile za kutembea 300km/h + kwa bei hio wengi tungemudu hata ingekuwa 50k. Ila unasafiri comfortably.
Kabisa mkuu.
 
Wewe ndio hujui nimepanda Dar express inayokwenda Nairobi, nilishuka Arusha saa nane na nusu, na ni zaidi ya mara 1
Leo hii nimepakia dogo ameenda moshi, wamefika saa tisa , bus imeondoka saa KUMI NA NUSU usiku/alfajiri...(mabus yanayopak nje ya stand)...hakuna bus ya kuondoka saa 6:00 ikafika huko muda huo, labda iwe ya Magu

Arusha ufike saa nane that means moshi umepita saa saba ... Thubutu...hii ilikua inawezekana kabla ya tochi tu
 
Kweni kuna mtu amelazimisha mpande treni? Si kuna njia nyingine za usafiri? Sasa watu mnatokwa mapovu ya nini?
Kila mtu ana haki ya kufanya anachokipenda sasa iweje nyie muwaone wanaopanda treni wajinga?
Kweni mnawasaidia kwa lolote?
Achani kujifanya wajuaji bhana
 
Mkuu tutafika huko usijali tumeanaza na SGR ya speed 180pH. Ndio maana Mh Raisi anajenga Nyerere goerge ili tupate umeme wa kutosha kuendesha viwanda pamoja na treni.

Lakini inabidi kipatao cha watanzania kikue kwanza ili kuwenza kuleta usafiri wa namna hiyo maana gharama zake zitakuwa juu ili kufit gharama za uundeshaji hivyo inaweza pata abiria wachache. Yote kwa yote sifa zimuendee Mh. Raisi anafanya kazi nzuri sana tunamuomba, tu Mh. atafufulie ile reli ya Moshi Mombasa ili sasa Moshi iwe ni kitovu cha biashara huku ikijiandaa kuwa jiji.
Hiyo treni si ingefika kabisa hadi Arusha ili ibebe na wanaoenda huko.
 
Back
Top Bottom