kunguru hawafugikiKwani juhudi za mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zimegonga mwamba? Si aliapa kupambana nao?
insta kila usenge unafanyika pale na imekuja snap chat sasa iyo kibokoMitandao imeharibu sana ndungu zetu zamani haikua ivi lkn saiv huwezi kuingia bado bila kutongozwa,insta massage ndio kabisaaaa yaani ni kuchafu hakufai
Nawas was na wewe ngoja nikuitie Makonda
MAKONDAAAAAAA PITA HUKU
we leta uzungu tu.....yakimkuta mwanao au ndugu yko ndo utajua kuwa waTz wapo bize au hawapo bize na mambo yao!!This might rub people the wrong way but i'm curious. Hivi what's so fascinating about mashoga, to the extent kwamba most Tanzanian's won't shut up about it? Najua it's not our culture, but kama wanaendelea na maisha yao, HAWAKUBUGHUDHI, wewe kwanini usi focus na maisha yako?
I think watanzania wengi hatuko busy na kazi ndio mana tunapata mda wakufwatilia mambo trivial kama haya. LET THEM BE AND YOU MIND YOUR OWN BUSINESS. Wakikuingilia in your personal life, then you can do something. Alafu no one is forcing you to follow them on social media. Do you know you can simply choose to opt out, un-follow them, un-like their pages and just like that, your page won't be filled wit content you don't approve.
Mimi sio shoga, nor do i support it. Ila nimechoshwa na wabongo always focusing on this. Y'all need something better to do with your time.
Huna habari kuwa jamaa wameshalipua hii kitu kwenye anga yetu.hawa jamaa wako mbaliGay bomb - Wikipedia
we leta uzungu tu.....yakimkuta mwanao au ndugu yko ndo utajua kuwa waTz wapo bize au hawapo bize na mambo yao!!
Aisee! Hivi ni mtu mwenye akili zake anaandika huu upuuzi?This might rub people the wrong way but i'm curious. Hivi what's so fascinating about mashoga, to the extent kwamba most Tanzanian's won't shut up about it? Najua it's not our culture, but kama wanaendelea na maisha yao, HAWAKUBUGHUDHI, wewe kwanini usi focus na maisha yako?
I think watanzania wengi hatuko busy na kazi ndio mana tunapata mda wakufwatilia mambo trivial kama haya. LET THEM BE AND YOU MIND YOUR OWN BUSINESS. Wakikuingilia in your personal life, then you can do something. Alafu no one is forcing you to follow them on social media. Do you know you can simply choose to opt out, un-follow them, un-like their pages and just like that, your page won't be filled wit content you don't approve.
Mimi sio shoga, nor do i support it. Ila nimechoshwa na wabongo always focusing on this. Y'all need something better to do with your time.
Sio lazima tuwe navyo!!Sisi hatuna haja ya kulalamika tazama brazil serikali inawaruzuku mashoga ili watalii waende kwa wingi,wenzetu wa wanaviwanda vya nashoga.
Wewe wakimbadili mwanao awe shoga ndo utajua ...Mngekua mnatumia nguvu na akili kwenye mambo ya msingi kama mnavyokemea ushoga nchi ingekua mbali. Ushoga si kitu kwa namna iwayo yeyote ile nchini, katika nchi ya watu 45mil naamini idadi ya mashoga haifiki hata 10k sasa kwanini kupoteza muda kwa kitu Kidogo kama hicho (hao ni negligible). Watu wanaishi Tanzania na bado hawajawahi kuwaona mashoga live ila nyie kila siku mlalamika online sababu mnawafuata wenyewe kwenye social media
Kama hawaingilii shughuli zako wala kulipa bills zako kwanini wewe uingilie mambo yao ya chumbani
Hivi ukiacha kuwafollow wanarudia hali yao ya kawaida? [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hivi huko insta na Facebook mnawa follow kwa sababu gani?
Kama kweli tunataka kueliminate ushoga na tabia za kishoga, let's un-follow them from these social networks. Wengi wa walalamikaji humu wwnawafollow huko instagram na facebook...
DaahHuna habari kuwa jamaa wameshalipua hii kitu kwenye anga yetu.hawa jamaa wako mbaliGay bomb - Wikipedia