Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,579
Wakuu habari za wakti huu.
Leo nimelileta mezani hili jambo.

Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji.
Wengine ni waume za watu, watu na heshima zao lakini wanajihusisha na mambo ya kipuuzi.

Vijana wameharibikiwa huko instagram na facebook na mitaani hapafai yaani mashoga wamejana humo.
Facebook hatukai kwa amani tena, twitter, badoo na instagram sasa naombeni tujadili ama niulize tayari hali ni tete kama hii kwa vijana.

Nini kifanyike kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la USHOGA hapa dar? Maana miaka 10 ijayo hali itakua mbaya sana.
 
Yahya Jameh rais wa Gambia aliwapiga mkwara mzito wakati anahutubia UN mbele ya Ban ki moon

Alisema akirudi Gambia hataki kumuona shoga yeyote kwakuwa hajawahi kuona kuku shoga wala Ngo'mbe shoga akatoa tamko,shoga yeyote yule kwa usalama wake aondoke Gambia na kama akitaka aendelee kuishi Gambia basi ushoga No.

Akasema shoga yeyote shingo yake ni halali yake,ukienda mji mkuu wa Gambia,insta,fb hukuti upuuzi wa mashoga


Solution-fuata nyayo za Yahya Jammeh
 
Magufuli toa tamko please badala ya Tanzania ya viwanda itakuwa ya mashoga.. Ukweli usemwe mashoga wamekuwa wengi saaaaana huko mitandaoni tunatongozwa jamani na wanaume wenzetu
 
Da!
Mi nahisi hii tabia ya wazazi kuwa achia watoto kulelewa na ma house girl
Mtoto wa kiume kushinda kutwa nzima na ma dada zake
Shule za boarding mtoto hangali mdogo sana
Hivi ni vitu vinachochea sana vijana wetu kujiingiza kwenye moto huu hatareeeee
This is my intake
haya pia yanachangia
 
Magufuli toa tamko please badala ya Tanzania ya viwanda itakuwa ya mashoga.. Ukweli usemwe mashoga wamekuwa wengi saaaaana huko mitandaoni tunatongozwa jamani na wanaume wenzetu
ingekua bora sana angetoa tamko maana hali si shwari kabisa
 
Back
Top Bottom