Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,643
Natumai akili kuwaza c Kichwa wewe endelea na Kichwa chako
Basi akili kuna mahali zimefungwa sio lasimi....jaribu kuzitikisa!!,
Natumai akili kuwaza c Kichwa wewe endelea na Kichwa chako
Nasema NYONGA- UJINGA MI SIPENDAGI. JANAUME LIZIMA LINAJIFANYA DEMU, MAMBO GANI HAYA.Mbona wakati wa kampeni tulikuwa tunawaomba kura kwa unyenyekevu, leo hii wamekuwa wakunyongwa.
-* Ukiupinga ushoga waziwazi unaonekana na wewe mwenyewe ni shoga au unachembe chembe za ushoga,
-* Ukisema ni haki za binadamu basi unaonekana wewe ndo shoga kamili au basha unatembea na mashoga.
-* Ukikaa kimya wana kuwa huru na kujiachia na hatimae wanaongezeka mashoga.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lasimi....... Ni ngeli gani ktk lugha pana ya kiswahili au Ndio kutumia kichwaBasi akili kuna mahali zimefungwa sio lasimi....jaribu kuzitikisa!!,
Mkuu kuna wengine wanaanzisha thread kujipigia promo humu jamvini.Mngekua mnatumia nguvu na akili kwenye mambo ya msingi kama mnavyokemea ushoga nchi ingekua mbali. Ushoga si kitu kwa namna iwayo yeyote ile nchini, katika nchi ya watu 45mil naamini idadi ya mashoga haifiki hata 10k sasa kwanini kupoteza muda kwa kitu Kidogo kama hicho (hao ni negligible). Watu wanaishi Tanzania na bado hawajawahi kuwaona mashoga live ila nyie kila siku mlalamika online sababu mnawafuata wenyewe kwenye social media
Kama hawaingilii shughuli zako wala kulipa bills zako kwanini wewe uingilie mambo yao ya chumbani
HU PAMBEEENaona mnatetea haki zenu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
hivi mwana kweli una pumuliwa,? acha hiyo tabia ......PUNGA ULINIZAA WEYE???
Unajua wa tz ni wanafiki sana serikali ikiwazingua mashoga, utaona aki za binadam wanapiga kelele.Da!
Mi nahisi hii tabia ya wazazi kuwa achia watoto kulelewa na ma house girl
Mtoto wa kiume kushinda kutwa nzima na ma dada zake
Shule za boarding mtoto hangali mdogo sana
Hivi ni vitu vinachochea sana vijana wetu kujiingiza kwenye moto huu hatareeeee
This is my intake
hizi habari ni za kweli??? hivi unajuaje kuwa huyu shoga na huyu si shoga kama wewe si shoga. wengine dont care tunafocus ya kutafuta mpunga japo umepotea
Cc Makonda.
Njoo huku mkuu naona tamko lako limeongeza ushoga kwa kasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah kuna kapicha kanaonekana kwa nje ya uzi ila nikiingia ndani sikaoni
hata mimi nakatafutaa nikikipata ntaku tag[emoji23]