Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

gaytravelbrazilmurders.jpg
 
Sisi hatuna haja ya kulalamika tazama brazil serikali inawaruzuku mashoga ili watalii waende kwa wingi,wenzetu wa wanaviwanda vya nashoga.
 
Yahya Jameh rais wa Gambia aliwapiga mkwara mzito wakati anahutubia UN mbele ya Ban ki moon

Alisema akirudi Gambia hataki kumuona shoga yeyote kwakuwa hajawahi kuona kuku shoga wala Ngo'mbe shoga akatoa tamko,shoga yeyote yule kwa usalama wake aondoke Gambia na kama akitaka aendelee kuishi Gambia basi ushoga No.

Akasema shoga yeyote shingo yake ni halali yake,ukienda mji mkuu wa Gambia,insta,fb hukuti upuuzi wa mashoga


Solution-fuata nyayo za Yahya Jammeh
wapinzani watalalamika
 
Ni kweli sio dar peke Yake tanga wamejaa yena hawajifichi na wanafanya shughuli za kik kama saloon muonekano wao umebadilika sauti tabia maumbile hata miondoko yao huwa nikikutana na mkaka wa aina hii huwa machozi yananitoka na huwa najisikia vibaya sana mwenye ez mungu atunusuru pamoja na vizazi vyetu
 
Dawa sio kuwanyanyapaa dawa ni kuulizia namba zao ili uwatumie mpesa ya vilainishi wasije wakapata maambukizi hatari ya ukimwi.
Hapo ni sawa na kuwaunga mkono na kuwapa hamasa zaidi.
 
Mashoga wengi wanatoka mikoani kuja mjini wakiamini huku watapata wateja wa kuwabandua tofauti ni huko gwanging'ombe!
 
Jiji hili ni kubwa sijawai kubahatika kukutana na mtu anaeitwa shoga hua nasikia tu sijui kwa sababu hua Sipendi kutembelea bar au sehemu ya starehe sijawai kumuona shoga kwa kweli
Hata mimi huwa hizi habari nazisikia...Huwa natamani angalau nimuone hata mmoja
 
Wee mbona unashabikia kinyesi hivyo? Tukuweke kundi gani?
 
Wanaume wa dar tafuteni pesa kialali, kwani lazima ushoga? Napita tu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tufanyanye ushoga ni haram kama ilivyo shisha hayo mambo yatafanyika kwa usiri kwa hiyo hayataonekana,kujinadi kwa hawa watu kunaaribu watoto na itapelekea ongezeko la hawa watu
 
Hata hao wachache hatuwataki mkuu.Tabia hii inakera sana kwa kuwa ni kinyume na maagizo ya Mungu.Matokeo ya tabia kama hizi ni taifa kuachwa na Mungu na kuingia kwenye laana.Mungu anachukizwa na tabia hii kama tunavyo-ona kwenye kitabu cha Warumi 1:24;26-27(24 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu,hata wakavunjiana heshima miili yao.26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu,hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke,ya asili,wakawakiana tamaa,wanaume wakiyatenda yasiyopasa,wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.)

Nimalizie kwa kusema kwamba kufuatana na maandiko hayo tunacheza na moto.Itafika mahali Mungu atashusha hasira yake juu ya taifa hili,kwa kuwa halitaki kabisa kuchukua hatua dhidi ya uovu huu.By then it will be too late.
Hii Habari imekuwa Amplified,Mashoga wapo lakini si kama ulivyoeleza kwa Ku-Boost.
 
hizi habari ni za kweli??? hivi unajuaje kuwa huyu shoga na huyu si shoga kama wewe si shoga. wengine dont care tunafocus ya kutafuta mpunga japo umepotea
Kwani hili nalo ni imani kwamba halionekani jamani daaaaaah.Kwani mitaani kwetu hatuwaoni walaji hawatupi story?hawatuonyeshi hata picha clip zao wakila daah Mkuu hata hili lakushangaa kimbishoo.
 
Mngekua mnatumia nguvu na akili kwenye mambo ya msingi kama mnavyokemea ushoga nchi ingekua mbali. Ushoga si kitu kwa namna iwayo yeyote ile nchini, katika nchi ya watu 45mil naamini idadi ya mashoga haifiki hata 10k sasa kwanini kupoteza muda kwa kitu Kidogo kama hicho (hao ni negligible). Watu wanaishi Tanzania na bado hawajawahi kuwaona mashoga live ila nyie kila siku mlalamika online sababu mnawafuata wenyewe kwenye social media

Kama hawaingilii shughuli zako wala kulipa bills zako kwanini wewe uingilie mambo yao ya chumbani
 
Back
Top Bottom