Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

Hivi unawajuaje mashoga kama hauwatafuti kwenye mitandao??? Ni mtandao mmoja ambao unaongoza kwa hayo mambo... peperonity, huko ndio balaha... unatutaji fb na twitter.
 
Yaani u gay, umekua simulizi za Taifa... Mnh kweli sijui nani alituloga watanzania... By the way, kila mwanaume ni gay, mnazidiana viwango tuu...mie simoooo [emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100]
yes every man is gay,
 
Aisee! Hivi ni mtu mwenye akili zake anaandika huu upuuzi?

Mkuu ! Tatizo sio kuwa kwenye page ! Wala tatizo sio watu kuwafollow au suo kwamba hatuko busy...no!

Tatizo ""Tunaishi nao" na sisi tuna watoto...

Ninuavyo hakuna anaezaliwa shoga...! Ushoga unakuja kama kitabia flani hivi..

Sasa wewe unasema tuwaache waishi maisha yao....! Are they living in another planet...au tumebanana nao kinondoni huku ya yako mtaani ambapo sisi tunaona na baya zaidi tuna watoto ambao wanakua na watoto wanapenda ku-emitate vitu kutoka kwa wakubwa...

Natamani uwe na mtoto afu awe shoga in cause of the gays around you...

Labda ndo utaelewa kwanini tunaupiga vita....

Hata kuku wanatushinda akili..!!
wewe ushoga ni genes not Tabia. subiri ndugu yako au mwanao aje awe shoga utajua tu.
 
Hivi ukiacha kuwafollow wanarudia hali yao ya kawaida? [emoji41] [emoji41] [emoji41]
umealzimiswa kuwa follow au? mbona kila mwanaume anafolow yule shoga maarufu davito na kimsifia alivyo na sura nzuri
 
Wakuu habari za wakti huu.
Leo nimelileta mezani hili jambo.

Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji.
Wengine ni waume za watu, watu na heshima zao lakini wanajihusisha na mambo ya kipuuzi.

Vijana wameharibikiwa huko instagram na facebook na mitaani hapafai yaani mashoga wamejana humo.
Facebook hatukai kwa amani tena, twitter, badoo na instagram sasa naombeni tujadili ama niulize tayari hali ni tete kama hii kwa vijana.

Nini kifanyike kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la USHOGA hapa dar? Maana miaka 10 ijayo hali itakua mbaya sana.
Hao mashoga wako wapi mimimsiwaoni?
Kama instagram una uhakika gani kuwa dmshoga yupo dsm na sio kibaha au mombasa?
Au ni hobby yako?
 
Aisee! Hivi ni mtu mwenye akili zake anaandika huu upuuzi?

Mkuu ! Tatizo sio kuwa kwenye page ! Wala tatizo sio watu kuwafollow au suo kwamba hatuko busy...no!

Tatizo ""Tunaishi nao" na sisi tuna watoto...

Ninuavyo hakuna anaezaliwa shoga...! Ushoga unakuja kama kitabia flani hivi..

Sasa wewe unasema tuwaache waishi maisha yao....! Are they living in another planet...au tumebanana nao kinondoni huku ya yako mtaani ambapo sisi tunaona na baya zaidi tuna watoto ambao wanakua na watoto wanapenda ku-emitate vitu kutoka kwa wakubwa...

Natamani uwe na mtoto afu awe shoga in cause of the gays around you...

Labda ndo utaelewa kwanini tunaupiga vita....

Hata kuku wanatushinda akili..!!

Aise nimefwata comment zako kwenye huu uzi. Inaonekana unaomba sana watoto wa wenzako wawe mashoga. Unaogopa wakwako atakua shoga nini? LOL! Kama nilivyo mjibu mtu mwingine hapo awali. KAMA MWANANGU atakua shoga, i'll be disappointed and hurt. LAKINI that's it. That's all i'll do. I'll love him equally, i'll protect him like the rest of my children and be there for him. I'll ask him to be safe just like any other person and pray for him.

Ila anyone that interferes with my son's pursuit of his GOD GIVEN LIBERTY'S. THEY WILL FACE ME!!!
 
Nilikuwa natembea mtaani kwetu kufanya tathmini ya bandiko lako. Huku kwetu hali ni shwari. Kama hapo kwenu hali si shwari please chukueni hatua. Local solution for local problem!!
 
Mkuu mbna unajistukia, hizi tabia zao mtoto wa kiume kutoa nyapu kwa men mwenzako ni tabia za kimaandazi
Wanatudhalilisha sana wanaume na kwenye ukweli lazima pasemwe imeshakua too much

Siwapendi mm kiukweli serikali ichukue hatua dhidi yao

Kimombo yake yenyewe ya kimarekani, so ukiona manyoya ....................!
 
TATIZO NI AINA YA MAISHA VIJANA WAISHIVYO MAISHA YA KUIGA ....WATU WANATOBOA PUA MASKIO,KUNA NATAMASHA YANAFANYIKA YA AJABU AJABU...
MAVAZI YANAVALIWA YA AJABU AJABU....
KUNA UNAFKI MKUBWA SANA UTAKUTA WATU WANAJIFANYA WANAKEMEA WASENG LAKINI NDY KWANZA UTAWAKUTA PAMOJA KWENYE SEHEMU ZAO....

OVA
 
umesema kweli kabisa kama sio kuna watumiaji hao wakaka poa wangekuwepo kweli?
 
acha lugha chafu kijana,afu hujaelewa ,mwambie mtu akufafanulie,sina muda huo....
haina haja ya kufafanua wakati umetoa tusi kubwa sana bora ungesema "sisi wanaume wote ni mashetani" kuliko kutukana tusi kubwa hivo..
by the way nimekujibu hivo ili uwe na adabu siku nyingine usiandike upuuzi kama uloandika hapo
 
Kitendo cha Uzi huu kuendelea kupata kick ndo badala ya kutokomeza ushoga mnaupa kick ushoga...laanakhum kabsa nyie
 
UJINGA MTUPU
HUU NI ULUPO ULOPITILIZAiBADALA YA KUFANYA KAZI MNADEAL NA USHOGA
USHOGA NI TABIA YA MTU SO SIO RAHIS MNAVYODHAN KWANZA WAACHENI WAKAE FANYA YAKO YA WATU HAYAKUHUSU
KWANI MTU AKIWA SHOGA INAKUWASHA WAPI?KILA MTU NA MAISHA YAKE
TANZANIA TUTAENDELEA LINI KWA KUFATILIA YA WATU MJINI?HAKI ZA BINADAM ZIZINGATIWE
CHEFU KBS
Ha,haaa...
Nilikua naitafuta post yako, mana nilijua lazima utasema neno.

Lakin, mbona km vile umechukia, kwani we punga?
 
haina haja ya kufafanua wakati umetoa tusi kubwa sana bora ungesema "sisi wanaume wote ni mashetani" kuliko kutukana tusi kubwa hivo..
by the way nimekujibu hivo ili uwe na adabu siku nyingine usiandike upuuzi kama uloandika hapo
Wewe nae hilo ni tusi??? Au fact??? Mmmnh jiongeze
 
wewe ni mjinga tu, ushoga ni genes not Tabia. subiri ndugu yako au mwanao aje awe shoga utajua tu.
Genes? Haya yanayozaliwa yakidindisha baaada ya muda wanakuwa makaka poa...

Genes zinatoka hewani zinawaingia?
 
umealzimiswa kuwa follow au? mbona kila mwanaume anafolow yule shoga maarufu davito na kimsifia alivyo na sura nzuri
Mkuu wewe hakuna mtu anaewafollow ...wapo kibao tuu mitaani huko..

Mimi nacritisize watu kama wewe wanaoamini eti kwa sababu hawajawafollow basi mambo ya kishoga hayana athari kwa jamii...

Wewe usiwafollow ila hizo tabia zao zitafollow kizazi chako...

Stay tuned!

Lengo letu sote ni kupiga vita hii kitu na kuwasaidia wale ambao washajiingiza huko..
 
Back
Top Bottom