Kuoa wake wanne ni ushujaa, tamaa ama mahaba? - Kibonde

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo
katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni nini??akaishia na kuanza kuelezea unajua
kuna wengine wakiwa na wake wengi wanaona ushujaa na wengine wanakuwa tu na tamaa ya kuongeza wake
wakati uwezo wa kuwatunza hawana ,,akasema hata kile kitabu chetu kinasema ni dhambi kubeba mzigo wakati huna
uwezo wa kuwahudumia wote na wanatakiwa wawe na furaha masaa yote asitokee mmoja kulalamika ama kwenye upande
wa mboga mchele ujapeeleka ama umemnyima TUNDA lake....akasema wengine wanaona wake zao wakiwa wanapigana ama
kutukanana wao wanafurahia sana hali hiyo so mwisho akasema anauliza
kuoa wake wanne ni mahaba tamaa ama ushujaa...ungekuwa msikilizaji ungejibu nini kusaidiawale wanaokimbilia kuongeza
list huku uwezo wao kwa siku kamoja mara mbili na huku viko vyumba vinne...tunaomba mawazo yako yazingatie kusaidia
kupunguza msongamano wa talaka zinazoendela kutolewa kila iitwapo leo na si hilo tu kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa
bila malezi ya baba zao mwisho wasiku kukumwagia maji machafu kama wale wa Ubungo maji traffick light..katika majibu yako

MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA
 
Maisha haya haya mie naamini ni ngumu kuwapa wote kwa usawa........... ngoja nisubiri wenye uzoefu watuambie.
 
Ukiwa na kipato ni ushujaa vile vile ufahari kwa wazee wetu wa zamani

Unakuwa na mnene, mrefu, mfupi, mweupe,
 
Hili naona limekaa kidini zaidi, watu tutajibu with respect to dini zetu.. umenigusa hapo kwenye maji machafu ya ubungo!
 
huyo juu kaamua kuitimisha kabisa mh kibonde natumainijibu umelipata
 
Inategemea umeoa kwa msingi gani,kama ni msingi wa kidini sitii neno,lakini nje ya hapo,ubatili!
 
Tokana na jamii unayotoka... kama shujaa in the sense kua unalea wengi sawa...

but sidhani kama wanaumw wa sasa wanaweza mziki wa kuwa na wake wanne.
 
wifi hapo kwenye muziki wa wanne ukitupiwa mawe wala usiniite! na wenzio ndo kwaanza wanasifiana valuer na nyagi, na small house. wakirudi home mmh! chichemiiii!
Tokana na jamii unayotoka... kama shujaa in the sense kua unalea wengi sawa...but sidhani kama wanaumw wa sasa wanaweza mziki wa kuwa na wake wanne.
 
Ukweli utabaki palepale ni tamaa tu japo mtu atajitahidi kutloa sababu nyingi sana kuficha ukweli wa kile kilicho ndani yake "Tamaaaaaa!!"
 
Tokana na jamii unayotoka... kama shujaa in the sense kua unalea wengi sawa...

but sidhani kama wanaumw wa sasa wanaweza mziki wa kuwa na wake wanne.

asha watake radhi vidume vya haja
kuna wanaoondoka asbh saa kumi namoja wakidai wanawahi folen wanaenda kwa bi mdogo mpaka saa moja na nusu
wakifika lunch wanenda magomeni ile one hr waanrudi ofiisni wakimaliza kazi wanaaga 30 kabla wanaenda sinza kurekebisha wa tatu
kabla ya kurudi nyumban kuhitimisha wa nne..hapo mke wa nyumban ajui akiwekwa wazi si 4*2=8
 
wifi hapo kwenye muziki wa wanne ukitupiwa mawe wala usiniite! na wenzio ndo kwaanza wanasifiana valuer na nyagi, na small house. wakirudi home mmh! chichemiiii!

ha ha ha... Wifi waje tu majeshi yatanilinda....lol

Sasa kwani uongo?? Tofauti mwenye nyumba ndogo na yule ambae anao wanne....
 
Back
Top Bottom