Kuoa wake wanne ni ushujaa, tamaa ama mahaba? - Kibonde

oya man iimada yako imekaa kidini zaid,tenakumba usiludie kuandika mada kiushabiki 2kianzakuchunguzana kwenye dini bila kua na takwim nzuli ya kitabu cha ile dini?nahisi apatatosha jf, ona! waliojibu wamejibu kiushabiki na si vinginevyo kua makini nadini zawa2! Ebo!...f.....

oya man iimada yako imekaa kidini zaid,tenakumba usiludie kuandika mada kiushabiki 2kianzakuchunguzana kwenye dini bila kua na takwim nzuli ya kitabu cha ile dini?nahisi apatatosha jf, ona! Waliojibu wamejibu kiushabiki na si vinginevyo kua makini nadini zawa2! Ebo!...f.....

nasri una uhakika

(unachokinena)

jamani kwani watafiti wanasema unatakiwa unaniiii mara ngapi kwa mwaka, then tugawanye tuone. Kama vp wagawane hichohicho kuliko kuranda na njia kutaft,je wakikosa si watamaliza mwaka

Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo
katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni nini??akaishia na kuanza kuelezea unajua
kuna wengine wakiwa na wake wengi wanaona ushujaa na wengine wanakuwa tu na tamaa ya kuongeza wake
wakati uwezo wa kuwatunza hawana ,,akasema hata kile kitabu chetu kinasema ni dhambi kubeba mzigo wakati huna
uwezo wa kuwahudumia wote na wanatakiwa wawe na furaha masaa yote asitokee mmoja kulalamika ama kwenye upande
wa mboga mchele ujapeeleka ama umemnyima TUNDA lake....akasema wengine wanaona wake zao wakiwa wanapigana ama
kutukanana wao wanafurahia sana hali hiyo so mwisho akasema anauliza
kuoa wake wanne ni mahaba tamaa ama ushujaa...ungekuwa msikilizaji ungejibu nini kusaidiawale wanaokimbilia kuongeza
list huku uwezo wao kwa siku kamoja mara mbili na huku viko vyumba vinne...tunaomba mawazo yako yazingatie kusaidia
kupunguza msongamano wa talaka zinazoendela kutolewa kila iitwapo leo na si hilo tu kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa
bila malezi ya baba zao mwisho wasiku kukumwagia maji machafu kama wale wa Ubungo maji traffick light..katika majibu yako

MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA

1) swala limekaa kiimani zaidi....

2) si tamaa sababu ameamuwa kuoa... wale wafanya ngono zembe wazizni ndio wenye tamaa

Kama mashine ni intercooler hakuna tatizo kuoa wanne.

Ratio wa wanawake ni kubwa sana so acheni wengine wasitirike.

Halafu hao wa nne si kwamba una gonga wote kwa cku 1. Kila mtu ana zamu yake.

Kuna jamaa hapa jirani ana mke mmoja tu lakini tukipiga hesabu hao anaokamata huko barabarani na nguvu anazotumia ni zaidi hata ya huyu mwenye wake wanne!

Ni afadhali mtu awe na wanne wanaotambulika kuliko awe na mmoja then awe na nyumba ndogo 3.

Ni mtazamo tu.

Ipi bora? awe na wake wanne au awe na mke mmoja na wanawake wa nje zaidi ya mmoja?

hapa tunaongelea official.....utambulikanaji
kwani kuoa wanne inguarentee kuwa hatakuwa na wa nje
anaweza kuwa nao na hao wanne amewahalalisha maana ni tamaa

Watu wanaoa nyie mnakaa hapa oooh sijui tamaa sijui kitu gani. Of coz ni tamaa, kwani huyo mmoja uliyemuoa hukumtamani au ulimuoa ili muangaliane huko ndani??!!!!! Watu mnashangaza sana hivi mnadhani tamaa ni kitu kibaya????!!!!!! Kwa taarifa tu ni kuwa tamaa ni part and parcel of human life and the only thing that can make someone bad or good is how one responds to tamaa zake.

Ebanae all in all madume ya haja tuendelee kutamani na kuoa kama kawa.

Watu wanaoa nyie mnakaa hapa oooh sijui tamaa sijui kitu gani. Of coz ni tamaa, kwani huyo mmoja uliyemuoa hukumtamani au ulimuoa ili muangaliane huko ndani??!!!!! Watu mnashangaza sana hivi mnadhani tamaa ni kitu kibaya????!!!!!! Kwa taarifa tu ni kuwa tamaa ni part and parcel of human life and the only thing that can make someone bad or good is how one responds to tamaa zake.

Ebanae all in all madume ya haja tuendelee kutamani na kuoa kama kawa.

Waelezee chips mayai hawa bao moja jitu lina hema kama nini, kama uwezo upo na kila kitu kinaruhusu wake wa nne mpango mzima, bora kuliko nyumba ndogo! BTW nina watatu, natafuta wa mwisho!

Waelezee chips mayai hawa bao moja jitu lina hema kama nini, kama uwezo upo na kila kitu kinaruhusu wake wa nne mpango mzima, bora kuliko nyumba ndogo! BTW nina watatu, natafuta wa mwisho!
ha ha ha haa, mkuu, sisi tupo kwaajili ya kuwasaidia hawa wachovu! tunapata "kazi" nyingi sana sababu ya ugoi goi wao.

.............ndo uanaume kwa mwafrika,kama unae mmoja jiangalie mkuu.

Wengine Imani ya dini yao inawataka/Inaruhusu wafanye hivyo,(waislam), huko vijijini ni hobby kumiliki fungu la wake na wanawake. its a matter of preference mkuu!

Niko karibu na kawe jamaa walilijadili hilijuzi waakasema kama anauwezo anaruhusiwa nikauliza na alie na zaidi ya uwezo kwa nini wasiweke 8

Back
Top Bottom