ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,274
- 22,008
jamaa ni balaa kwa dili haramu na anaua pale inapobidi na ni bonge la dhulumatiAlex Massawe kabla hajaanza kusakwa na Interpol alihamishia makazi yake Dubai pamoja na familia yake.
jamaa ni balaa kwa dili haramu na anaua pale inapobidi na ni bonge la dhulumatiAlex Massawe kabla hajaanza kusakwa na Interpol alihamishia makazi yake Dubai pamoja na familia yake.
Myahud wanasema ni associated napapa msofe nae yuko wapi? alimtapeli myahudi mmoja dhahabu ya mkwanja wa nguvu. myahudi aliapa anakwenda kwao ila ipo siku atarudi!
Axantee...umemjibu vizuri...ye anafikir Dereva wa waziri anakua wa kawaida kama wa mabasi ya mikoanii..huuhhhuuu my balls....Unafahamu dereva Wa waziri anareport kwa nani? dereva kuanzia kwa mkuu Wa wilaya mshahara wao unatoka kwa nani? dereva Wa waziri unadhani amewekwa pale na waziri husika?? unafaham protokali zao?
kizaizai commission agent("Wapi kizaizai")("wapi mpakanjia ")(" wapi George Mayenga")
=============
Wanamziki na wasanii mbalimbali hawakuacha kutamka maneno hayo!
Maneno hayo ni majina ya matajili marafiki watatu waliokuwa wanapenda sifa kupindukia!
Katika hao watatu, sijawahi kuona mtu aliyekuwa anapenda sifa kama KIZAIZAI....
Kwanza huyu jamaa miaka yote hakuwahi kumaliza ujenzi Wa nyumba yake zaidi ya kujenga na kubomoa halafu anajenga tena! (Ili Mradi tu aonyeshe anazo)
KIZAIZAI alikuwa akijenga nyumba hadi inakamilika halafu anaibomoa na kujenga tena. (Na Fundi aliyejitia kiherehere cha kumshauri kwamba wasivunje alijibiwa nafanya hivi ili nyinyi mpate kura! Nawalipa Pesa ya kujenga na kubomoa na kujenga tena)
KIZAIZAI Aliwahi kujaribu kubadilisha jina la mtaa mzima uitwe jina lake (KIZAIZAI STREET)
Aliagiza order ya ndoo za rangi toka kiwandani zipakwe kila nyumba mtaa mzima, Kwa madai kwamba mtaa mzima ufanane na hadhi yake kutokana na wageni wanaomtembelea, pia aliweza kupendekeza mtaa mzima upandwe miti mirefu miashoki!
KIZAIZAI hakupenda kukaa na gari aina moja Kwa siku tatu anabadilisha!
KIZAIZAI alikuwa akigawa fedha hususa bandi na wanamziki walipompaisha! Na wale wote walioshangilia walipata fedha!
KIZAIZAI Alipatwa hadi kuimbwa na Diamond katika wimbo wake Wa "kizaizai"
KIZAIZAI sasa kamaliza UJENZI Wa Nyumba yake awamu hii na hataki kubomoa tena!!
View attachment 645110
ndiyo yule wa matractor ya kilimo kwanza auPedeshee Muzamiri Katunzi mutu ya Kanyigo.
NamusomaUstadh juma
Namusoma?Ustadh juma
Wayahudi bwana kwamikwara yao ya nitarudipapa msofe nae yuko wapi? alimtapeli myahudi mmoja dhahabu ya mkwanja wa nguvu. myahudi aliapa anakwenda kwao ila ipo siku atarudi!
All domokwayas are silent now.Mutoto wa Koromijee ....!! Hadi Ngwajima kachemsha na kunyanyua mikono juu
Ni mpigaji aka dalali,anajulikana pia kama super tallHuyu natamani kumfahamu kama kuna mwenye picha yake atuwekee tafadhani, naona ni story ya kusisimua, anafanya biashara ya madini au ni ishu gani
Madinda ni dereva wa Wizara nadhani ya Ardhi alihamishiwa DomFikiri madinda amebadili lifestyle tangu 2013..Yuko Tiss!
Ndama amefulia wakati amelipa faini ya zaidi ya 100M?wananata na beat wamegundua utawala huu hauhitaji misifapesa za unga izo
ndama kafulia wengine wapo jela akina msofe
Msofe alitoka zamani tuakirudi mwambie musofe yupo jela
Huyo jamaa na Kiumbe ni waganga wanawapiga sana Mombasa hukoHii mada tamu, wapi ustadh Juma na Musoma?
Mbona lowassa hafirisiki???Quraan Tukufu inasema
ULICHOKIPATA KWA NJIA YA HARAMU KITATOKA KWA HARAMU NA KAMWE HUTOKUA NA MAENDELEO KWA KIPATO HICHO CHA HARAMU