Kundi la mapedeshee watatu waliotamba enzi za Kikwete!

("Wapi kizaizai")("wapi mpakanjia ")(" wapi George Mayenga")
=============
Wanamziki na wasanii mbalimbali hawakuacha kutamka maneno hayo!
Maneno hayo ni majina ya matajili marafiki watatu waliokuwa wanapenda sifa kupindukia!
Katika hao watatu, sijawahi kuona mtu aliyekuwa anapenda sifa kama KIZAIZAI....
Kwanza huyu jamaa miaka yote hakuwahi kumaliza ujenzi Wa nyumba yake zaidi ya kujenga na kubomoa halafu anajenga tena! (Ili Mradi tu aonyeshe anazo)
Huyu jamaa alikuwa akiona nyumba nzuri mtandaoni akiipenda basi anabomoa ya zaman,
KIZAIZAI alikuwa akijenga nyumba hadi inakamilika halafu anaibomoa na kujenga tena. (Na Fundi aliyejitia kiherehere cha kumshauri kwamba wasivunje alijibiwa nafanya hivi ili nyinyi mpate kura! Nawalipa Pesa ya kujenga na kubomoa na kujenga tena)

KIZAIZAI Aliwahi kujaribu kubadilisha jina la mtaa mzima uitwe jina lake (KIZAIZAI STREET)
Aliagiza order ya ndoo za rangi toka kiwandani zipakwe kila nyumba mtaa mzima, Kwa madai kwamba mtaa mzima ufanane na hadhi yake kutokana na wageni wanaomtembelea, pia aliweza kupendekeza mtaa mzima upandwe miti mirefu miashoki!
KIZAIZAI hakupenda kukaa na gari aina moja Kwa siku tatu anabadilisha!
KIZAIZAI alikuwa akigawa fedha hususa bandi na wanamziki walipompaisha! Na wale wote walioshangilia walipata fedha!
KIZAIZAI Alipatwa hadi kuimbwa na Diamond katika wimbo wake Wa "kizaizai"
KIZAIZAI sasa kamaliza UJENZI Wa Nyumba yake awamu hii na hataki kubomoa tena!!

View attachment 645110
Mbona hujamtaja papaa msofe na mwenzie Aurora
 
Bill Gate Katunzi Muzamir Nakutakia Maisha Mema na Mwenyezi mungu akujalie uwe mfano wa kuigwa iyeeeeeeee - Christian Bella.

Binaadamu akiona una mafanikio atakukatisha tamaa songa mbele usirudi nyumba mie najua umetoka mbali ni siri yako sio wote watakupendaaaa ,ihiiiiiiiiiii JOSEPH KUSAGA.

Tenda mema usingoje Shukhrani cheka na Watu wote MUZAMIR KATUNZI.

Ah Vitu ni Vingi.
 
("Wapi kizaizai")("wapi mpakanjia ")(" wapi George Mayenga")
=============
Wanamziki na wasanii mbalimbali hawakuacha kutamka maneno hayo!
Maneno hayo ni majina ya matajili marafiki watatu waliokuwa wanapenda sifa kupindukia!
Katika hao watatu, sijawahi kuona mtu aliyekuwa anapenda sifa kama KIZAIZAI....
Kwanza huyu jamaa miaka yote hakuwahi kumaliza ujenzi Wa nyumba yake zaidi ya kujenga na kubomoa halafu anajenga tena! (Ili Mradi tu aonyeshe anazo)
Huyu jamaa alikuwa akiona nyumba nzuri mtandaoni akiipenda basi anabomoa ya zaman,
KIZAIZAI alikuwa akijenga nyumba hadi inakamilika halafu anaibomoa na kujenga tena. (Na Fundi aliyejitia kiherehere cha kumshauri kwamba wasivunje alijibiwa nafanya hivi ili nyinyi mpate kura! Nawalipa Pesa ya kujenga na kubomoa na kujenga tena)

KIZAIZAI Aliwahi kujaribu kubadilisha jina la mtaa mzima uitwe jina lake (KIZAIZAI STREET)
Aliagiza order ya ndoo za rangi toka kiwandani zipakwe kila nyumba mtaa mzima, Kwa madai kwamba mtaa mzima ufanane na hadhi yake kutokana na wageni wanaomtembelea, pia aliweza kupendekeza mtaa mzima upandwe miti mirefu miashoki!
KIZAIZAI hakupenda kukaa na gari aina moja Kwa siku tatu anabadilisha!
KIZAIZAI alikuwa akigawa fedha hususa bandi na wanamziki walipompaisha! Na wale wote walioshangilia walipata fedha!
KIZAIZAI Alipatwa hadi kuimbwa na Diamond katika wimbo wake Wa "kizaizai"
KIZAIZAI sasa kamaliza UJENZI Wa Nyumba yake awamu hii na hataki kubomoa tena!!

View attachment 645110
Ndama mutoto ya ng'ombe
 
Hahahahahaha nimecheka sana mkuu
 
Kila nyakati na nabii wake.

Kila awamu na mapedeshee wake.

Sasa ni zamu ya akina Bashite.
Kweli kutesa kwa zamu,nasasa ni zamu ya akina Nnape na Makamba,duuuh! nakumbuka maneno ya JPM kua kila kitu ni temporary,akasema hata yeye ni temporary.
 
Back
Top Bottom