Kundi la mapedeshee watatu waliotamba enzi za Kikwete!

Huwezi kuleta mbwembwe mbele ya wazimu lazima watu watulie na sio kwamba wamefilisika
Ila pia inaonekana wa tz huwa wanapenda sana kuona watu wamefulia wakiongozwa na kiranja
Bila kujua mzunguko wa pesa unapungua na kuwaathiri wao pia
Hawa jamaa pamoja na hayo lakini na imani wamesaidia watu wengi sana
Mara nyingi sio watu wenye roho mbaya
 
Umasikini isiwe sababu ya wewe kuwa na chuki na wengine, pambana ili ujitoe kwenye umasikini.
Hela nyingi zinapatikana tu bila hata kuuza unga kama unavyojiaminisha baada ya wewe kushindwa..

Ndama bado yupo na hela zake mkuu ndio maana aliweza kujilipia zamana 200mil wakati wewe hata 5mil huwezi kumiliki.
Papa Msofe yuko uraiani ana kula bata mkuu, Alex Masawe anaishi South Africa na familia..

Kushindwa kuwa tajiri isiwe chanzo cha wewe kuwachukia matajiri na kufikiri kila mwenye hela anauza unga au ni dili..
Pambana tu usikate tamaa bila kuchoka, Mungu ndio mgawa ridhika lakini sio kwa WANAFIKI NA WACHAWI..
Kweli mkuu :)
 
Unafahamu dereva Wa waziri anareport kwa nani? dereva kuanzia kwa mkuu Wa wilaya mshahara wao unatoka kwa nani? dereva Wa waziri unadhani amewekwa pale na waziri husika?? unafaham protokali zao?
Mshahara wa dereva,na kupangiwa amuendeshe nani huwa anapangiwa kutoka wizara ya utumishi
 
Back
Top Bottom