Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Hii kitu mbaya sana na sitaki niionje. Mwaka jana kuna chalii alikunywa akichanganya na kiroba, asbh walimwokota vichochoroni suruali ikiwa kwenye visigno! Inasemekana washkadau walimgonga yai kuptia 0718
 
Wadau kama taito inavyojieleza hapo juu.nackia hii pombe inafanya mgegedo uwe wimawima mwanzo mwisho kuna ukweli wowote.

Karibu tuchangie,

Lugha za staha ndo mpango mzima kama hauwezi kutumia lugha ya staha pita kimyakimya
sio nzuri kabisa hasa kwa game, inalegeza mno viungo, lakini pia ukiichanganya na soda hasa pepsi au coca inaganda inakuwa kama maziwa mgando
 
Na kweli kama ujasiliamali ungekuwa unachangamkiwa hivi wa-TZ tungelikuwa mbali sanaaaaaaa!
 
Heshima kwenu wadau! Kama mtakumbuka juzijuzi nilileta uzi unao ongelea kinywaji cha zanzi.basi baada ya comment za wadau mbalimbali c ndo nikashawishika kutumia! Aisee zanzi ni noma,nikaanza mgegedo na partner wangu ulikuwa ni mwendo mdundo nikapiga za samuel etoo hat trick.niliinjoy balaa.hebu jaribuni muone afu mrete mrejesho.
 
Back
Top Bottom