Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Uduvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
738
Reaction score
521
Wadau kama taito inavyojieleza hapo juu.nackia hii pombe inafanya mgegedo uwe wimawima mwanzo mwisho kuna ukweli wowote.

Karibu tuchangie,

Lugha za staha ndo mpango mzima kama hauwezi kutumia lugha ya staha pita kimyakimya
 
Wadau kama taito inavyojielezza hapo juu.nackia hii pombe inafanya mgegedo uwe wimawima mwanzo mwisho kuna ukweli wowote.karibu tuchangie,lugha za staha ndo mpango mzima kama hauwezi kutumia lugha ya staha pita kimyakimya

Ukitaka kumkamata mbongo, ongelea chochote kinachoongeza nguvu za kiume, utatajirika sana.
 
Mimi sielewi bila picha jamani. Tafadhali fanya msaada wa picha aliyeko baar
 
Hii kitu ya zanzi mi napigaga mwishoni baada ya kupiga konyagi then zanzi naweka mwishoni kwa ajili ya leveling ya akili. Ila kuna siku nilipata mechi ilikuwa balaa mtoto alipata utamu mpaka akashindwa kutembea vizuri akadai eti miguu imekosa balance ikawa kama inatetemeka hivi! Sababu kumbe ni shuguhuli niliyompa msuguo wa hatari mpaka papuchi ikatapika vinne kwa wakati mmoja!



Heshima zangu kwa Zanzi!
 
Ukitaka kumkamata mbongo, ongelea chochote kinachoongeza nguvu za kiume, utatajirika sana.

Kwani hilo ndio janga la taifa, kila mwanamume hata kijana alie balehe leo utaskia ninaupungufu wa nguvu za kiume, umejauaje?? Eti naona tu, sasa wew umejua kuogelea leo tu tena unataka uende na kina kirefuu leo leo??
 
Hii kitu ya zanzi mi napigaga mwishoni baada ya kupiga konyagi then zanzi naweka mwishoni kwa ajili ya leveling ya akili. Ila kuna siku nilipata mechi ilikuwa balaa mtoto alipata utamu mpaka akashindwa kutembea vizuri akadai eti miguu imekosa balance ikawa kama inatetemeka hivi! Sababu kumbe ni shuguhuli niliyompa msuguo wa hatari mpaka papuchi ikatapika vinne kwa wakati mmoja!



Heshima zangu kwa Zanzi!

hahah Aiseeeeeeeee hatari hii
 
Back
Top Bottom