Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Hii kitu ya zanzi mi napigaga mwishoni baada ya kupiga konyagi then zanzi naweka mwishoni kwa ajili ya leveling ya akili. Ila kuna siku nilipata mechi ilikuwa balaa mtoto alipata utamu mpaka akashindwa kutembea vizuri akadai eti miguu imekosa balance ikawa kama inatetemeka hivi! Sababu kumbe ni shuguhuli niliyompa msuguo wa hatari mpaka papuchi ikatapika vinne kwa wakati mmoja!



Heshima zangu kwa Zanzi!

Acha upumbavu.
 
Ingekua mkielezwa tips za ujasiriamali unakua na utayari huu wa kujaribu on the spot; hivi kitanganyika chetu kingekuaga far niaje!!!!

Hizo wanajua maana mpaka waende kwa karumanzila.
 
Ile dhana nzima ya Uanaume siku hizi inapotea. Mwanaume anategemea visaidizi kama pombe vimfanye atomize uanaume wake??? Kweli??

Wengi siku hizi si winaume mpeleke mgegedoni bila tembe utamchukia siku ilile ila ukimbahatisha kidume we acha kabisa.
 
Hii kitu ya zanzi mi napigaga mwishoni baada ya kupiga konyagi then zanzi naweka mwishoni kwa ajili ya leveling ya akili. Ila kuna siku nilipata mechi ilikuwa balaa mtoto alipata utamu mpaka akashindwa kutembea vizuri akadai eti miguu imekosa balance ikawa kama inatetemeka hivi! Sababu kumbe ni shuguhuli niliyompa msuguo wa hatari mpaka papuchi ikatapika vinne kwa wakati mmoja!



Heshima zangu kwa Zanzi!

Mkuu USIPOTOSHE watu!Ama wewe ni marketing manager wa hii kitu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu USIPOTOSHE watu!Ama wewe ni marketing manager wa hii kitu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums


hamna mkuu mimi ni mtumiaji kama watu wengine ila zanzi na konyagi ni mwisho wa matatizo hasa kwa wanandoa wenye misukosuko na tendo
 
Sikio la kufa halisikii dawa. Kama haisimami haisimamii tuuuuuuu.
Cc Husninyo
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo ya pombe na mimi ni tofauti kabisa, kumbe kuna pombe mpya inaitwa zanzi?

Loh! Kweli wewr ni mgeni hapa kwetu. Ndio iko pombe fulani hivi nzuri kama amarula vile. Haina tofsuti sana na amarula. Tofauti yake ni bei na ujazo lakini zinafanana. Sasa mtumiaji ndio shuhuda wa music wake hasa ukiwa kwenye hizi mech. Hasa kama metumia wote, loh hutasahau hiyo shughuli. Ni balaa. Jaribu uone.
 
Back
Top Bottom