Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Kuna yeyote anayeifahamu hii pombe ya Zanzi?

Umechoka mkuu,kupiga hattrick mpaka u boost?

hat trick za mwendo mrefu.kamanda.hat trick ni k2 cha kawaida ila kama za fastafasta zinakuwa sio.xaxa zangu zilikuwa balaa
 
Mbona maziwa tu hayo mkuu? Kunywa machozi ya simba uone balaa lake
 
zanzi ndo nn???

kifupi cha zanzibar

Ya pakti au ya chupa?

Ni kifupi cha Zanzibar ndugu Emma
kck_SupremacyZnziBAR500.png
cc: Uduvi
 
Last edited by a moderator:
Aisee.... mie sitii neno kwenye huu uzi, ngoja tupate mauzoefu kwa watumiaji wa zanzi na wapenda migegedo. Wapi mzabzab........


Hii kitu ya zanzi mi napigaga mwishoni baada ya kupiga konyagi then zanzi naweka mwishoni kwa ajili ya leveling ya akili. Ila kuna siku nilipata mechi ilikuwa balaa mtoto alipata utamu mpaka akashindwa kutembea vizuri akadai eti miguu imekosa balance ikawa kama inatetemeka hivi! Sababu kumbe ni shuguhuli niliyompa msuguo wa hatari mpaka papuchi ikatapika vinne kwa wakati mmoja!



Heshima zangu kwa Zanzi!
 
Last edited by a moderator:
Kuna zile za bar na za kwa mama muuza.....na mie ninayoifahamu ni ulanzi ambayo tunaitwangia kwa mama muuza.....sasa Je tunaitwangia hiyo ZANZI BAR au kwa mama muuza pia ?
 
Nimejaribu zanzi aisee ni balaaa,zanzi kilimo kwanza
 
mauzo na masoko wako kazin ukisoma ingredients haichangii chochote kwenye afya wala tendo.
 
Back
Top Bottom