Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

Mtongozo si kazi ndogo Dada ake.
Kijasho chaweza kukuta.
Hahahahaha ndiyo maana siku hizi watu wanatongoza kwa matendo.
Out ya kwanza , ya pili, zawadi zawadi. Unamkaribisha nyumbani kwako , mnaangalia muvi ya kutisha anaogopa anakukumbatia shetani anawapitia. Mnakuwa wapenzi automatic.
 
hahaha siku hizi matendo yanaongea zaidi kiukweli;

Mtongozo unaowsumbua sana watu ni ule umekutana na mtu Mara ya kwanza humjui hakujui. Namna ya kuvunja mfupa akuelewe uchukue walau namba simu kwa mawasiliano zaidi ndio huwa kizungumkuti.
 
Wanaume mna kazi kweli.
Maana ukienda tuu like "sista naomba namba zako " haueleweki.

Labda mkutane sehemu ambayo inaruhusu kuongea story mbili tatu na hana haraka. Tofauti na hapo duuu poleni, mupo na kazi nzito!
 
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papucha wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.
Tehe tehe sihusiki kazi kwenu
 
Wanaume mna kazi kweli.
Maana ukienda tuu like "sista naomba namba zako " haueleweki.

Labda mkutane sehemu ambayo inaruhusu kuongea story mbili tatu na hana haraka. Tofauti na hapo duuu poleni, mupo na kazi nzito!
Mazingira kama ya bar, hotel, kwa ofice, ama biashara ni rahisi kuinteract, waweza muingilia na kupiga story mbli tatu na kuchukua namba.

Hahaha nakumbuka kuna kipindi kwenye daladala inabidi nishukie kimara kibo/ rombo: nikajikuta nafika kwa msuguri just kufukuzia namba tu
 
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papucha wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.
Hivi unaweza kunisaidia kwa nini warembo wengi hawapendi wanaume wenye aibu?
Nini kinaambatana na aibu kwa mwanaume?
 
Mazingira kama ya bar, hotel, kwa ofice, ama biashara ni rahisi kuinteract, waweza muingilia na kupiga story mbli tatu na kuchukua namba.

Hahaha nakumbuka kuna kipindi kwenye daladala inabidi nishukie kimara kibo/ rombo: nikajikuta nafika kwa msuguri just kufukuzia namba tu
Lakini namba ulipata? Au ulirudi kapa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha siku hizi matendo yanaongea zaidi kiukweli;

Mtongozo unaowsumbua sana watu ni ule umekutana na mtu Mara ya kwanza humjui hakujui. Namna ya kuvunja mfupa akuelewe uchukue walau namba simu kwa mawasiliano zaidi ndio huwa kizungumkuti.
🤣🤣🤣🤣
Kizungumkutu au sio?
Vip sasa nini kifanyike kuchukua namba kwa mafanikio na kwa haraka?
 
Back
Top Bottom