Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

Umevurugwa
Screenshot_20190704-134709.jpeg
 
Pole,jitu unalitongoza linakung'atia kucha kama demu hahahaa pole Sana dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona kuna viashiria vya sodoma na gomola hapa
 
Haha
Hahahahaha ndiyo maana siku hizi watu wanatongoza kwa matendo.
Out ya kwanza , ya pili, zawadi zawadi. Unamkaribisha nyumbani kwako , mnaangalia muvi ya kutisha anaogopa anakukumbatia shetani anawapitia. Mnakuwa wapenzi automatic.
 
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papucha wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.

Inaonekana washakutenda vidume. Vipi uliliwa mzigo halafu ukatelekezwa au?
 
Kumbe bado upo?
Salamu zako tele
 
"Nilikupenda kwanzia siku nyingi. Nilifanya juhudi zote kujitahidi napambana kuzipata namba zako. Ila kuhusu aliyenipa siyo muhimu kwa sasa maana nilizibeba kwenye simu yake bila hata yeye kujua."

Halafu na unaongea kama msomi[emoji23][emoji23]
Hapa kukazia unafatisha na muamala sio hahaha
 
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papucha wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.
Mimi mpenzi nilie nae alinipenda kwa mambo hayo. Dunia hii ya ajabu sana. Basi nisipomfanyia hayo zama hizo hadi ananyong'onyea kabisa. Wakati mwingine alidhani naumwa.Basi hata nikitaka nanihii namzungushia mijicho kama gololi. Bomba sana!
 
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.

Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege?

Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh!

Usikute hata hao watoto mnaodhani ni wenu ni wa wanaume wenzenu.

Mianaume kama nyie ni ya kuchuna tu halafu papucha wanakula wengine.

Nimejiandaa kwa povu.
Njoo uchune na hizi hapaa...[emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom