Wild Thoughts
JF-Expert Member
- Mar 17, 2019
- 562
- 992
Mimi hua natongoza hapo hapo first sight kabla hata sijaomba namba ila kwa nidhamu sana lazima nisikilizwe.hahaha siku hizi matendo yanaongea zaidi kiukweli;
Mtongozo unaowsumbua sana watu ni ule umekutana na mtu Mara ya kwanza humjui hakujui. Namna ya kuvunja mfupa akuelewe uchukue walau namba simu kwa mawasiliano zaidi ndio huwa kizungumkuti.
Nikipigwa chini natuliza sehemu zangu hata namba siombi.
Tukienda sawa ndo naomba sasa namba itasaidia mawasiliano tukutane maenao.
Changamoto ni moja tu, madem wengi hawajazoea kutongozwa first sight hii inapelekea kutotoa ushirikiano hata kama na wao wamenielewa wanaondoka sijapata namba na inakuwa ndo bas tena.