Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
hahaha; kumbe wapenda sikia maneno matamu matamu kama Yale ya sultan Suleiman aliyokuwa akimwagia hurrem sultana.Mimi hizo hizo nazipenda. Labda ni kwasababu napenda sana kudekezwa, kubembelezwa. Sound za hela sijui zawadi wengi hawahangaiki kubembeleza kabisa.
Lazima dunia yote uione yako