Kuna wake wanaobadili dini KISA mwanamke; mlishawajadili?!

Kuna wake wanaobadili dini KISA mwanamke; mlishawajadili?!

Kama mungu ni mmoja hakuna haja ya kubadili dini au dhehebu, kubadili dini au dhehebu ni kuonyesha kuna mungu zaidi ya mmoja au kuna Imani moja sahihi na nyingine zote potofu za shetani.
 
Samweli alicheza karata zake vizuri.
Huwezi kumnyima mtu binti kisa yeye ni dhehebu jingine.

Mwanamke anatakiwa kufuata dini ya mume na si mume kufuata dini ya mke hii inahusiana na wakristo.

Unanyimwa binti tu kama dini zipo tofauti kwa umbali unaotatikana mfano mkristo kuoa muislamu na vice versa hio ni kamari.
 
Ila mademu nje unapiga? Tungi unapiga? What is so special kwenye nguruwe?
😂😂 Haya mambo ni mtihani kaka, Najaribu kujitahidi kumpa uhuru na nafasi ya kufurahia imani yake kadri nnavyoweza....

NB:Sio mke wa ndoa ni mwenza
 
Sijui nisemeje kwenye hilo,any way niseme heri ubadilishwe kutoka kuwa uislamu kuwa mkristo kuliko kubadilishwa kutoka ukristo kuwa muislamu kwa kufanya hivyo unakuwa umepelekwa kwenye giza totoro hata usiweze kuiona njia uiendaayo.Ahsanteni
 
Kuna dini ukiiacha adhabu yake ni kifo kwa kukatwa shingo.Ndiyo maana wengine wakihama dini hiyo hawatangazii umma.Dini hiyo ni ya wa-Buddha.
kuna mshikaji wangu mpemba halfcast kabisa kawa mgalatia kisa binti wa kisukuma na kuna demu mzaramo kafunga ndoa RC na mshikaji arusha, muslims wanaretard ila kimya kimya
 
KWENYE UTAFUTAJI HAKUNA HALALI AU HARAMU. PAMBANA MPAKA UKATE KIU YA HITAJI LAKO.

📌📌📌HASA KWENYE SEKTA YA KUZICHAKATA MBUSUSU TUMIA KILA MBINU UMCHAPE MTAMA.GADEMIT!!!

~ALUTA CONTINUA.
 
Back
Top Bottom