Miongoni mwa maswali ambayo Mimi huwauliza watu ni hili, na mara nyingi wamekuwa wakiliruka kama kiunzi.Ukipiga kitimoto huwa unambusu/ulimi kwa mdomo?
Sijui tutakapoishia ila kwa wakati huu ambapo nipo naye situmii kabisa...Ukipiga kitimoto huwa unambusu/ulimi kwa mdomo?
Endelea kuwauliza hadi watoe majibu yanayoeleweka.Miongoni mwa maswali ambayo Mimi huwauliza watu ni hili, na mara nyingi wamekuwa wakiliruka kama kiunzi.
Naelewa hivyo pia ila naona OP ameiweka tofauti.Kuhama dhehebu..
amin brohBlaza sema kweli!!
Mi naomba mnujibu tu hata kama mtanidanganya kwa sababu tangu ujana wangu nauliza tu na jibu bado sijalipata.Endelea kuwauliza hadi watoe majibu yanayoeleweka.
Kuna dini ukiiacha adhabu yake ni kifo kwa kukatwa shingo.Ndiyo maana wengine wakihama dini hiyo hawatangazii umma.Dini hiyo ni ya wa-Buddha.Maeneo mengi tu mbona watu wanasilimu kisa ndoa...ila asilimia kubwa wanaosilimu ni wakristo wake kwa waume kisa ndoa....nakumbuka Kuna kijiji niliwahi kuishi kwa muda sasa kulikuwa na kanisa la RC na nilikuwa naabudu pale .....siku moja katekista akanieleza miaka 15 nyuma kanisa lilikuwa linajaa ila saivi watu ni wachache mno kwasababu wengi wamesilimu mno
sasa atambusu na nini😆😆Ukipiga kitimoto huwa unambusu/ulimi kwa mdomo?
Sema ukweli mkuu au unawaogopa kobazi?😂😂Kuna dini ukiiacha adhabu yake ni kifo kwa kukatwa shingo.Ndiyo maana wengine wakihama dini hiyo hawatangazii umma.Dini hiyo ni ya wa-Buddha.
Hivi tunajadili nini mkuu wangu?Nimesahau ujue!Sema ukweli mkuu au unawaogopa kobazi?😂😂
Shamila alimpa unono heavy!PrayGod asamehewe saba mara sabini.Kuna mwanangu alikuwa anaitwa preygod akaamua abadili dini nakujiita abduly kisa mtt wa kiislamu anaitwa shamilaa..
Hahaahaha itakuwa mkuuShamila alimpa unono heavy!PrayGod asamehewe saba mara sabini.
Ukikaa naye muulize kwa upole lazima atatoa siri ya urembo.Hahaahaha itakuwa mkuu