Lkn si ndio maana kuna hilo Carpet hapo la nylon...labda wakati anaingia kulikua na mvua akashindwa kufuta hilo tope.Hahahaaa. We mwenye gari ndio unakwazika na wao huwa hata hawajali. Akishashuka sasa unaanza kulalamika kimoyo moyo.
Ila huyo mdada kiboko tope lote hilo anaingia nalo pasi hata kujishtukia.
Mmh. Ndio kazi yake ila kiustaarabu basi bora hata angelipunguza.Lkn si ndio maana kuna hilo Carpet hapo la nylon...labda wakati anaingia kulikua na mvua akashindwa kufuta hilo tope.
wengine ustaarabu hawahujuiMmh. Ndio kazi yake ila kiustaarabu basi bora hata angelipunguza.
Ikiwa kila anayepanda kwenye gari hawi na ustaarabu sijui kama pangekuwa panatosha kwani sidhani kama kila mwenye gari ana ratiba ya kila leo kuosha hizo carpet.
Hahahaaa. We mwenye gari ndio unakwazika na wao huwa hata hawajali. Akishashuka sasa unaanza kulalamika kimoyo moyo.
Ila huyo mdada kiboko tope lote hilo anaingia nalo pasi hata kujishtukia.
Kweli kabisa kaka.wengine ustaarabu hawahujui
Huenda ikawa pia.Labda huko nje ya gari tope limeshamiri bila kusahau mvua ya haja, hamna hata pa kuyatolea…anafanyaje?
Labda ndio maana akajiandaa na kiatu cha kazi pia….
Hahahaaa. Duuh!MPE shemeji pole sana siku nyingine awe anaenda Shamba na mabuti.
Ha ha ha napita tuu.
Hahahaha, kuna watu wakikaa kwenye gari utadhani wanakata roho,miguu wanarusha rusha hovyo halafu ukute anatope hivyoSi afadhali ya huyo anaonekana katulia,mwingine miguu haitulii akiongea na miguu nayo inaongea,shuguhuli akishuka sasa, utadhani ulitoa lift kwa watu wa tano kumbe mtu mmoja...
sasa anachokwepa ni kipi hapo?? hilo kapeti linazuia hayo matope vizuri tu mbona,?Angelipunguza ndo apande
AAH SASA KAPETI NDIO MAANA LIKAWEKWA HAPOHapana mkuu wakanyage wakiwa wamevaa viatu na tope juu