Mareth
JF-Expert Member
- Dec 9, 2017
- 341
- 571
Yaani nikatae lift ya gari nije kupanda lift ya baiskeli? Hahahah asante ndugu,wacha nipambane na tope languNjoo nikupe lift kwenye baiskeli yangu hapa ya swala....tehteehh
Yaani nikatae lift ya gari nije kupanda lift ya baiskeli? Hahahah asante ndugu,wacha nipambane na tope languNjoo nikupe lift kwenye baiskeli yangu hapa ya swala....tehteehh
Mimi hutanikera tena nitakusaidia kuvifutaNdio maana sipendagi lifti. Najiepusha na kuwakera watu kama hivyo
Tunatofautiana mkuu, mimi siwezi tembea na matope hivo hata kama natembea kwa miguu lazima niipunguze kama sio kuifuta kabisasasa anachokwepa ni kipi hapo?? hilo kapeti linazuia hayo matope vizuri tu mbona,?
Anhaa hapo sawaTunatofautiana mkuu, mimi siwezi tembea na matope hivo hata kama natembea kwa miguu lazima niipunguze kama sio kuifuta kabisa
Huo usamaria wema wako unaufanya kwa kila mtu au utaufanya kwangu tu?Mimi hutanikera tena nitakusaidia kuvifuta
Nitakufanyia wewe kwasababu nimeguswa na comment yako.Huo usamaria wema wako unaufanya kwa kila mtu au utaufanya kwangu tu?
Nitakuja ila usije kunianzishia thread humu eti nilikuchafulia gari mpaka ukaamua kunifuta miguuNitakufanyia wewe kwasababu nimeguswa na comment yako.
Harrier hiyohaya sema gari ndo hadhi yake sidhani kama ingekuwa na wazfa huyo dada angeingia hivyo. hako katakuwa ka Paso kanatumika kama ka workshop au small kwichikwichi house.
Hii itakua machame sio kwa hili tope