Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

Umeonaeeee! Sababu kuna mwingine hawezi kukwambia ila ndio kama kina mleta uzi amebaki kusema "kuna vitu vinakera" na sidhani hata kama amewambia huyo dada kama alichofanya sio poa.
Utaanzaje kumwambia,au unakuta mwingine mchafu mchafu hajui tuu roho inavyouma anavyochafua siti haha aloooo
 
Huyu jamaa alilewa na hilo GUU akaruhusu mtu kuzama ndani.. Maana ni dhahiri huyu ni wa LIFT. Ila chini yuko vizuri
 
Yaan wanadhan magar yanajiosha yenyewe,
Hahahaaaa. Aiseeeeee.

Kuna watu wataona ni kawaida ila ustaarabu muhimu aisee ,hapo ningekuwa mie nisingeweza kupanda humo mpaka nipate suluhu ya tope nililo nalo hata kama ni kulipunguza kidogo.
 
Hahahaaa! Unampakiza hiyo basi tu. lol
Yaan hujui kitu ,muda yupo ndani ndipo unahisi duh mambo si mambo
Kwa kweli roho zinatuuma sana mtu anapofanya ndivyo sivyo yaan unaona anakuharibia kila kitu,akishuka unasonya had basi
 
Back
Top Bottom