Ndio maana sipendagi lifti. Najiepusha na kuwakera watu kama hivyoHahahaaa. We mwenye gari ndio unakwazika na wao huwa hata hawajali. Akishashuka sasa unaanza kulalamika kimoyo moyo.
Ila huyo mdada kiboko tope lote hilo anaingia nalo pasi hata kujishtukia.
Ndio maana sipendagi lifti. Najiepusha na kuwakera watu kama hivyo
[emoji23] [emoji23] afanyaje sasa wakati hali ya sasa hivi ndo kama unavyoona tope kila mahalaHahahaaa. We mwenye gari ndio unakwazika na wao huwa hata hawajali. Akishashuka sasa unaanza kulalamika kimoyo moyo.
Ila huyo mdada kiboko tope lote hilo anaingia nalo pasi hata kujishtukia.
KabisaUmeonaeeee! Sababu kuna mwingine hawezi kukwambia ila ndio kama kina mleta uzi amebaki kusema "kuna vitu vinakera" na sidhani hata kama amewambia huyo dada kama alichofanya sio poa.
Hahahaaa! We unazungumzia wapi ambapo kila sehemu kuna tope. Kungine kuna michanga ujue.[emoji23] [emoji23] afanyaje sasa wakati hali ya sasa hivi ndo kama unavyoona tope kila mahala
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa! We unazungumzia wapi ambapo kila sehemu kuna tope. Kungine kuna michanga ujue.
Na hata kama kuna tope sio kwa kupanda nalo lote hilo bana.
Hahahaaa. Itakuwa alimshawishi kwa maneno matamu sio bure.Hivi ulipataje ujasiri wa kumfotoa?
Haha kwa tope hilo isingekua rahis dada kukubali kufotolewa,mana picha imelenga miguu tu,tena sio ya kuzoom kusema kwamba aliipiga kwa mbali kiwiziHahahaaa. Itakuwa alimshawishi kwa maneno matamu sio bure.