Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,602
- Thread starter
- #201
Wewe Mkuu VinJoe , ni mjinga!.Mwl alieichukua nchi ikiwa kwenye mfumo wa chama kimoja ila alivumilia kuona ikiwa ya vyama vingi.
Kuwa mjinga sio tusi, ni ile hali tuu ya kutokujua jambo, ukifundishwa unafundishika, ujinga unakutoka, unakuwa mwerevu!.
Nyerere aliichukua nchi ikiwa na mfumo wa vyama vingi, akaifanya kuwa nchi ya chama kimoja. Ni Mwinyi ndiye aliyerudisha vyama vingi ile 1992.
Now you know, sasa wewe sio mjinga tena!.
Kuna wengi wasiomuelewa Polepole, ni wajinga tuu!. Waerevu tunamwelewa, kuna vitu anasema kweli.
P