Kuna uhusiano gani Kati ya mwisho wa dunia na vita ya Palestina na Israeli

Broadcast

Member
Jun 19, 2022
60
195
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kuna uhusiano gani wa mwisho wa dunia na hii vita ya israel na palestina

Maaana naona watu wengi wanasema mwisho wa dunia umefika?

Msaada plz


20231010_065651.jpg
 
Hakuna uhusiano wowote , utapoteza mda wako bure , hzo conflict huwa zinaibuka tuu , tangu enzi na enzi....life span yako ni ndogo tuu kuanza kufikria Jambo zito kama la mwisho wa dunia ,
 
Na kerwa na watu wanaoitete israel kwa mujibu kujiita na wao ni taifa teule, israel hakuna ukristo pale, wale ni wayahudi na wanaimani zao zinazokinzana wazi na wakristo, ishu ya vita ya Palestine na israel, siku israel ikiivamia palestine watu wanakaa kimya wanaona ni kawaida lkn siku palestine ikijibu mashambuliz eti ombea israel achen upuuzi wa africa! Wale wanamigogoro yao na haihusiani chochote na mwisho wa dunia!

Chagua adui wako wa misingi muache kusikiliza propaganda za wazungu mitandaoni kuhusu israel
 
Kama kuna mwisho basi utakuwa ni mwisho wa wapalestina, hakuna mwisho wa Dunia!!. 😲
 
Back
Top Bottom