BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,490
Mimi Kwetu ni kusini huko kwenye baridi ni kama nilinusurika kuwa mfupi na yote sababu mama yangu alihama nikajikuta nimezaliwa na kukulia kwenye mkoa wenye Joto nikawa mrefu.
Nimekuwa nikifanya research kuhusiana na watu wafupi na mazingira walipotokea nimenotice mikoa yenye baridi hususani nyanda za juu kusini inaongoza kwa kutoa watu wafupi.
Swali langu kwa wataalamu wa mambo ya genetics je kuna uhusiano gani kati ya baridi na ufupi??