Kuna uhusiano gani kati ya kuwasili kwa aliens duniani na machafuko ya siku za mwisho

Ukifanikiwa kuiona hiyo movie 'hornet' hao actors walikuwa wametengeneza robot ambayo walienda nayo milimani kwenye adventure zao, hiyo robot mwanzoni iliwalinda na attacks za aliens, baadaye ikaonekana kama aliens wame re-programe hilo robot na kulitumia against wale actors. The other thing waliokuwa wanafanya mashambulizi ni kama binadamu ambao walikuwa wanaonekana kama mazombi.
Ninachoweza kusema hapa, hao aliens watakapowasili duniani wataingiza roho chafu ya kufanya maasi kwa baadhi ya binadamu possibly ambao wapo inclined kwenye uasi au kutenda uovu au wana direct affiliation na devil kudhuru binadamu wenzao na kuleta hali ya taharuki kuu kila mahali duniani. Pia wataweza ku re-programme teknolojia mbalimbali zilizotengenezwa na wanadamu, mfano robots ili zitumike kufanya maasi waliyokusudia kuyafanya kwa wanadamu. Ukifuatilia kwenye maandiko ya biblia hasa kwenye kitabu cha Danieli na ufunuo wa Yohanna, hiki kipindi kinatajwa kama kipindi cha dhiki kuu (great tribulation). Ni kipindi kinachoashiria matukio ya mwisho wa ulimwengu ambapo ulimwengu utaingia katika hukumu.
Duh sawa kwa kuwa umeleta vitabu vitakatifu siwezi kupinga uko sawa,VP kuhusu chapa ya mpinga kristu 666 na ONE ORDER mbona kam vitu vingi mda mchache bado cjazungumzia covid na Bitcoins ,ivi unawaamini NASA na theory zao.
 
The way I see it, kujidhihirisha kwa anti-Christ ndo utakuwa mwanzo wa kuanza maovu mbalimbali na mateso dhidi ya binadamu ambao watakuwa wanapinga kujifungamanisha na utawala wa mpinga Kristo kwa kukaidi kupokea chapa yake, 666 na possibly ndo kipindi ambacho kutatokea hawa aliens kuingia duniani na kushiriki kwenye haya machafuko.....One World Order ndo utaratibu huo huo unaofanywa na devil worshipers kuelekea kwenye maandalizi ya kuanza utawala wa anti-Christ.
 
Nimeishia kusoma hapo uliapoanza na "waabudu shetani"

Quora imeniharibu sana, now day sina taste kabisa na nyuzi nyingi humu Jamii Intelligence

Hakuna 'movie' iliyotengenezwa na 'serikali' ya marekani
Hakuna serikali inayotayarisha Movie

Matukio ya watu kutekwa au kutwaliwa na viumbe vya ajabu (Alien Abduction) ni visa tu ambavyo havina support yoyote ya kisayansi,ni pure invention
Zao la script writers wa Hollywood na Sci-fi movies

Ukitazama ukubwa wa ulimwengu huu tunaoweza kuutazama ( observable universe) na tofauti ya umbali kati ya sayari yetu na sayari yoyote inayoweza ku support evolution ya intelligence species wenye uwezo huo utagundua hakuna tumaini lolote la sisi kuja kukutana na kiumbe chochote kile nje ya sayari yetu

Alpha centaur nadhani, ni nyota inayofata baada ya jua
Ipo umbali wa miaka 4.5 ya mwanga kama sijakosea

Maana yake nini?, ili kuifikia tunahitaji chombo kinachosafiri kwa kasi kama ya mwanga na bado kitachukua zaidi ya miaka minne kufika , hio ni kwa nyota ya karibu tu

Nikukumbushe tu, mwanga ndani ya sekunde moja una uwezo wa kuizunguka dunia nzima...

Physics ime ondoa uwezekano wa kitu chochote kile kuzidi kasi ya mwanga

Ni sheria, inayofanya ulimwengu uwe hivi ulivyo

Plus, kitu chochote kinachofikia speed kubwa kiasi cha kukaribia hata 30% ya speed ya mwanga (Relativistic speed) mda unaanza ku 'behave tofauti'

Hio miaka minne na miezi kadhaa, inaweza kuwa mamilioni ya miaka kwa sisi tutakao baki
So mawasiliano kati yao na sisi hayatowezekana

Mwisho, Dunia imekuepo miaka mingi sana, sisi tu asili yetu ni zaidi ya mamilioni ya miaka iliyopita

Tutapita pia, halafu hakuna atakayetukumbuka,
Dunia haitokuja kuisha kizazi chetu, unless jambo baya litokee kama lilivyotokea kwa dinosaurs
Baada ya kusoma hapa napata ujasiri wa kufungua Kilimanjaro nyingine hapa bar
 
Hao dinosaurs nani aliwasababishia jambo baya??
 
Mimi mwenyewe juzi usiku ni kama nimemuona ALIEN kaja geto hapa ndotoni sema alikuwa amekaa tu kwenye ndoo, sijui ndiyo alikuwa anajifikiria kwamba aniteke au aniache?🙄🙄😌
Mi juzi nilikua na mmoja pale small planet
 
Back
Top Bottom