Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
Kuna jamaa aliniambia wanaume wafupi hawajawaji kuvuta oxygen, warefu wanaiwahi juu kwa juu.Ufupi unaraha zake bhana. Ukijirusha kitandani hakuna kuangalia upande maana pande zote unatoshea
Kuna jamaa aliniambia wanaume wafupi hawajawaji kuvuta oxygen, warefu wanaiwahi juu kwa juu.Ufupi unaraha zake bhana. Ukijirusha kitandani hakuna kuangalia upande maana pande zote unatoshea
Hadi wanaume... wabishi saana... mtu mfupi na mrefu kabla hawajakutana tayari wanakuwa wana mgogoro wa nafsiHa ha ha ha huyo ana ugomv wa mawe mitung ya gesi duuh
Ila wanawake wafup ni wakorof balaa
Ufupi unaraha zake bhana. Ukijirusha kitandani hakuna kuangalia upande maana pande zote unatoshea
Hadi wanaume... wabishi saana... mtu mfupi na mrefu kabla hawajakutana tayari wanakuwa wana mgogoro wa nafsi
Basing on your assumptions mtu mrefu anaanzia futi ngap kwa standard zako madam?Urefu ni mvuto.... Yani mtu akiwa mrefu automatic tu anavutia, then ndo vinafata vigezo vingine
Hahaha eti oxygenKuna jamaa aliniambia wanaume wafupi hawajawaji kuvuta oxygen, warefu wanaiwahi juu kwa juu.
Kwa hiyo oxygen unaiinjoy kama wengine.Hahaha eti oxygen
Sky mimi sio mfupi bwana nina 6 kwenda juu.. I was joking.
Ha ha ha ha sio hivo buanaNipo naona mnatusimanga sie akina andunje
Oxygen naivuta vizuri kabisa...tatizo la watu warefu nikuonekana tunadharau basii ila suala la hewa hatupati shidaKwa hiyo oxygen unaiinjoy kama wengine.
Haha..Ukiwa na ubish na mtu mfupi ukubali tu atakachosema maana ile infiriority complex ipo kabla ya mabishano na bado ukikubal swala lake atabisha kuwa umemdharau ndio maan umekubal haraka
Hahaa usinikumbushe yule alotuchamba siku ile. Eti ooh ukiwa na tall guy unafeel secure, je ukiwa na baba yako mfupi haufeel secure?Kwakweli wanavutia, alafu nasikia wengi vibamia.
Mbiooooo.....!
Oxygen naivuta vizuri kabisa...tatizo la watu warefu nikuonekana tunadharau basii ila suala la hewa hatupati shida
Wanajiongeza.Ili wasidharaulike na wanaume wenzao au wanawake.Haha..
Sema watu wafupi wengi ni bright aseeh
Haha..
Sema watu wafupi wengi ni bright aseeh
Wapi nimesema warefu ni Wakutamba nao mtaani? Umeelewa nilichoandika kweli?Ila ni uongo au ukweli wanaume wafupi mnagubu? But asante kwa lisala yako.agata
1. Mwaume wa kutoka naye...
2. Mwanaume wa fasheni.....
3. Mwanaume wa kulingishia....
But mwanaume wa kuolewa nae nizaidi ya
-urefu
-ufupi
-unene
-wembaba
-weusi ama
-weupe
Wadada wasiku hizi mnakosa mabwana wakudumu kwasababu mnatafuta show up na fasheni.....matokeo yake ndoa nyingiiii zinaparaganyika hovyohovyo, simply because mnatafuta sifa za nje kwa wanaume matokeo yake kuvurugwa ....kuzalishwa halafu mitini.......sifa za nje ziwe kigezo chamwisho kama unatafuta bwana
1. Tazama background ya mume....wengine kwao kuowa nakuacha ndio tabia ya ukoo
2. Tazama ndoa zao wanadumu au hapana
3. Tazama utulivu, uvumilivu na uwezo wa kusamehe
4. Tazama weledi na focus
5. Tazama upole, upendo na huruma
6. Usisahau kutesti dushe yake....wengi siku hizi dushe ni legelege.....utalala njaa .....lakini nje ukimuona si ndo kifaa.....kumbe hana mpini anakikojeleo tu sio kifanyio.
urefu, ufupi nk utaishia kuzalishwa tuu then utajiju.
Ndiyo maana huwa wanajitutumua tehWanajiongeza.Ili wasidharaulike na wanaume wenzao au wanawake.
Hahaha haha..... kwa hiyo wewe ukarizika na urefu wako mzeeeHa ha ha ha kuna dogo mmoja kalikua kafup enz hzo tunasoma kalikua kanatukimbiza balaaa