Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Wafupi wengi hawajiamini. Wakikutana na wewe ukitaka uwaudhi waambie tu, Ah! Nimekuonea hapaaa. Yaani lazima aangalie nyuma akikuta kona sawa lakini akikuta ni njia ndefu tu haina kona, tiyari hasira zinapanda.
 
Wanaume warefu wanakuwa hawana Inferiority complex... Wafupi kitu kidogo ataona una mdharau..! afuu mnaamini wanaume warefu pia dudee zinakuwa ndefuu...
[emoji1] hapo umechemka. Viba..mia havijali urefu wa mtu au upi. Kitakuvaa tu.
 
Yaan nilikuwa sielewi kwann wananifuata ovyo kama nzi... Kumbe urefu ni ulimbo kwao
 
Habari wana MMU,

Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.

Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?

Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
We ishi na mkeo huyo mrembo kwa kutegemea ungongoti wako uje uone namna ambavo madwaf wenye mpunga watakavyo mfukunyua mbele yako. Alafu utatuletea mrejesho wanawake wanataka nini kwa wanaume.
 
Hivi haiwezekani kuwekeza kote mkuu!
mmh!!,
ingekuwa hivo,Leo hii mzee mengi,manji na mzee bakhresa,wangekuwa na masixipaki kushinda hata sisi vijana wa kileo wa kizazi cha fb,insta na Snapchat.
 
Back
Top Bottom