Habari wana MMU,
Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.
Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?
Wanawake nisaidie katika hili tukianza na
Miss Natafuta.
Kwanza asikudanganye mtu, wanawake karibu wote wanapenda wanaume warefu. Hataka anawaponda mbele yako, wewe mcheki reaction akimuona au akisalimiana nae, tofauti na mtu mfupi. Nilidhania in normal behavior kwa vijana, lakini wapi; nilikuwa na mmama mmoja akapita jamaa fulani tall, nikasikia tu 'kapanda alafu mzuri'. Nikajichekesha tu. This happened more than once.
Wanawake wengi hufikiria kuwa urefu = urefu wa penis. Kama wewe mfupi ujue kuwa machine fupi. Mwenyewe my girl aliniambia naogopa wanaume warefu kisa wanaweza kunitoa kizazi. Duh tuligombana after. You know why eheheheh. Pili, urefu = confidence also strength. Its nature. Hata wanyama pia uchagua dume lenye nguvu maana it means mbegu bora. That's how a woman's brain is wired. Urefu means protection, anajiona analindwa, sasa piga picha wewe mwanamke alafu unamzidi urefu mume wako, obviously utajiona wewe ndo mlinzi[emoji3] .
Appearance, inapendeza sana kama mwanamke akiwa mfupi, alafu mwanaume mrefu. Na hata wanawake wanapenda kushowoff kwa mashoti kuwa anamume mzuri. Kumbuka Urefu=beauty. Rejea Rwanda genocide. Mwanamke hupenda akiwa anamkiss mume wake awe anasimamia vidole na kichwa kiwe kinaangalia juu[emoji3] [emoji3] .
Naona watu wengi wanasema wanaume wafupi wasumbufu na wana mind vitu ovyo. In my experience naona wanaume warefu ndo maplay boy acha. Since they can easily get any girl they want. On the other hand wanaume wafupi wana game sio ya nchi hii. Overall mrefu haitaji maneno mengi kumuimpress mwanamke.
Conclusion:
Mwenyewe nipo kwenye kundi la wafupi. Ebwana nikuambie kitu, nikitembea na marafiki zangu warefu, wasichana hawaniangalii Mara mbili. Nikitaka attention inabidi Nipige mdomo. Wenzangu warefi kimya ila madada wanajigonga tu. Kingine, wasichana warefu pia wanavutia ila mimi siwezi kumtokea msichana anaenizidi urefu. Personal taste. Bora nilingane nae au awe mfupi. Kizuri Africa wafupi wanafigure no 8 ya ukweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] (babe wherever you are nakupa sifa). Ushauri wangu kwa wanaume wafupi, kama swagger zero, piga kitabu, piga kazi, tafuta hela. Watajileta.
Sorry for the essay, ningesema this is my two cents but acha niseme its my $1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
-callmeGhost