Kuna siri gani walimu kutokuzeeka mapema?

Kuna siri gani walimu kutokuzeeka mapema?

Kwa sababu wanasoma...
If u don't want to get old read as many books as u can!
 
Kuna mwalimu yupo young tu lakini ndio hivyo karibu anastaafu ukimuona kama yupo kwenye 30s
 
Nawapenda sana walimu..mama yangu ni mwalimu na kwakweli bado ni binti tu..walimu wenzake wengi bado wako vilevile na wanazidi kupendeza tu ...kuoa mwalimu ni muhimu
 
Mm nakumbuka kuna mwalimu alimfundisha mama yangu hadi kamaliza, akanifundisha mm mpka nimemaliza, lakini kuna muda nilikuwa nashindwa kuamnin kam ninkweli kamfundisha mama yangu, yaaan mtu kaganda palepale mwili hauongezeki wala kupungua aiseee hawa watu cjui wanakula nn
 
Mimi yupo mwalimu alienifundisha, nkabahatika kupata uzao wa mapacha watatu watatu Mara tatu, na wote amewafundisha, ule uzao wa kwanza wa watoto wangu wamepata pacha Mara mbili na wote wamefundishwa na huyohuyo mwalimu,,,,,
 
fanya utafiti kwa hawa jamaa zetu wanajifanya walinzi wa raia na mali zetu kumbe wanaishi kwa mateso sana dhuruma uonevu utesaji sasa hawa huwa wakistaafu baada ya muda utasikia mzee fulani kaugua kisukari mara presha mara shinikizo la damu mara miguu msongo wa mawazo ni wao kiufupi hawa wakistaafu wanaishi uraiani kwa shida sana
 
AF sijui ni kwanini,,,,
Cc nas111
 
Kinachowacost walimu ni vumbi la chaki tu lkn zaidi ya hapo wapo kwenye mazingira Bora kabisa.Mazoezi kila siku maana lazima watembee lazima wasimame Darasani,lazima saa nne wale kitafunwa (mihogo) Bila kuchanganya mavitu ya ajabu ajabu,muda wa kufurahi Na walimu wenzie pia wanafunzi lazima aendelee kudunda tu miaka yote
 
muda mwingi wanakaa na watu wa umri wa chini yao na kuna usemi unasema mtu ukikaa nae muda mrefu unaanza kufanana nae hivyo wewe ndio unaona hazeeki kwa kuwa anafanana na wale anaokaa nao mara nyingi lakini namba ya umri wake inazeeka
 
kula chaki , vumbi, kufanya biashara ndogondogo +stress ni dawa tosha
 
Hawana stress sana wanauhakika wamaisha kutokana na ajra yao
 
Hawana stress ya kazi saa 9 wanabeba pochi kwenda nyumbani shule zikifungwa nao wako likizo.

Wanacheza na saikoloji za watu tuu..... ni walezi wazuri wa familia.
Yaani kama kuna kazi yenye muda nzuri wa kurelax ni ualimu, kweli umenena mkuu
 
Back
Top Bottom