Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,247
- 12,766
Watoto 8 na hajaolewa ndio mada kuu ya somo la leo!Yupo Mwalimu mmoja alinifundishsa tangu awali, hivi sasa nina miaka 37 lakini teacher yupo fresh sana. Kwa kweli hata mimi inanishangaza. Pia huyu teacher ni mwanamke ana watoto 8 ila hajaolewa .