pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 915
Duj
Hahahah Mkuu Nitajua Tu HahahHuwezi kuwa mwalimu kwa kuandika neno FACATY, utafelisha watoto wetu
Ndio , Tena MubasharaKumbe uliona ile mkuu[emoji1] [emoji1]
Kwel Ila Walimu Wa Jf Nao Wanatumia Mwanya Huu Kuche,,,Mwl hana night, hana kusafirsafir rut kapewa na boss cjui, labda anaenda kushaisha mitihani, kurud nyumban zaid ya SAA 11 huyu ni wakuhojiwa zaidi, muda wa kulea familia,,,,
Hata alie oa mwalimu wengi wao unakuta wanaenda vizuri tu
Mfano: askar waliowengi wameoa mwalimu,
Viongozi waliowengi wameoa mwalimu, kada za afya waliowengi wameoa mwalimu,
Wafanyabiashara, na walimu kwa walimu wameoana
Ila wananidham kwwnye malezi huez kusikia ndoa imevunjika ovyo,,,,
Yaani walimu,,,
Ni walimu wa zamani sio wa kizazi hiki
Utadumu daimawomen,war and wine
War Wine WomenIla kazi zetu sisi hizi tunazeeka mapema na kifo (WWW)
Kama alistaafu mwaka 1978 basi atakuwa na miaka 99. siyo 107. Kumkadiria miaka 95 ulikuwa karibu na ukweli.Basi alivyopiga hatua nilimuuliza maswali huyu ni nani? Alinijibu huyu ni mwalimu wangu shule ya msingi, ila alistaafu mwaka 1978 kipindi hicho nilkwisha hitimu shule muda.
(Kumbe nilvodhani miaka yake ni 95 si kwel ni anazaidi ya 107 na kuzidi) kumbuka hana hata fimbo ya kutembelea
Sijaona mkoa una wazee kama Tabora hapa Tz kwa mikoa nilikokwisha pita, Tabora ni hatari sanamkoa wa klmanjaro ndio unaongoza kwa life expectancy kwa mujibu wa takwimu
patricl,
Walimu ni kundi kubwa la watu masikini lakini linalo pata mibaraka tosha ebu fikilia mwalimu anaweza kupata Shikamoo 2000 kwa wakati mmoja na kumbuka wanao mpa Shikamoo mwl ni watoto wasio na dhambi
Duh, umenikumbusha ticha wetu mmoja sekondari, alikuwa anavaa shati jeupe na suruali nyeusi, kama kukiwa na party shuleni anaongeza tu koti jeusi la suti, twende kazi, hakuwa na makuu kabisa baba yule.Walimu huwa wanabaki ivo ivo walivo kuanzia Maisha yao, Dress code mpaka Umri huwa vinakuwa Fixed.
Labda mwlm mpya ndie atafundisha masaa tisa ila kwa mkongweSi kweli mkuu, ualimu unashuruba zake.. masaa 9 ila mziki wake ni noma.
Labda itakua kitu kingine tuu.
Pengine walimu wamejaaliwa kuridhika tu.