Kuna siri gani walimu kutokuzeeka mapema?

Kuna siri gani walimu kutokuzeeka mapema?

sababu ni
1.KUTOKUA NA STRESS,MUDA MWINGI MWALIMU HUUTUMIA AKIWA SHULENI NA WANAFUNZI DARASANI.ANAKUWA NA FIKRA ZA.KUTEKELEZA WITO KAMA NDIO WAJIBU WAKE HATA KAMA KAACHA WANAE BILA UJI.
2.KUONGEA,KUTABASAMU NA KUCHEKA KWA MUDA MREFU

3.MAZOEZI YASIYO NA MUDA MAALUMU WALA KIWANGO YA KUINGIA MADARASA TOFAUTI TOFAUTI KUTWA NZIMA NA BADO SHUGHULI ZA NYUMBANI KWAKE BAADA YA KAZI
 
Hawana stress ya kazi saa 9 wanabeba pochi kwenda nyumbani shule zikifungwa nao wako likizo.

Wanacheza na saikoloji za watu tuu..... ni walezi wazuri wa familia.

Si kweli mkuu, ualimu unashuruba zake.. masaa 9 ila mziki wake ni noma.

Labda itakua kitu kingine tuu.

Pengine walimu wamejaaliwa kuridhika tu.
 
Hii ni kwel kabisa,Mwalimu alitufundisha,anafundisha mpaka Watoto/wajukuu wetu na atafundisha vitukuu vyetu
 
Mwalimu wangu wa kiswahili darasa la tano nilimuona anazidi kuwa binti tu! Mwaka wa 20 tangu anisomee hadithi ya JUMA NA ULEDI. Hapa kuna haja ya utafiti
 
Yupo Mwalimu mmoja alinifundishsa tangu awali, hivi sasa nina miaka 37 lakini teacher yupo fresh sana. Kwa kweli hata mimi inanishangaza. Pia huyu teacher ni mwanamke ana watoto 8 ila hajaolewa .
Watoto nane hajaolewa asee
 
mkoa wa klmanjaro ndio unaongoza kwa life expectancy kwa mujibu wa takwimu
Hiyo takwimu ya lini?

" Engaruka " ndiko kunakoongoza kuwa na watu wenye umri mkubwa sana.

Umeona picha ya avatar yangu?
 
Wanafanya mazoezi sana maana mtu anasimama hata dk90 kwa siku ubaoni na anazungumza huoni km ni mazoezi tosha kbsa hayo
 
Back
Top Bottom