king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,151
hah poaHaya. Kila la heri
hah poaHaya. Kila la heri
Kama huo mwaka 2005 ndo ulikua form less, kweli JF tuna vijana wengi sanaJana tarehe 12/12/2017 nimekutana na Mwalimu wangu wa Civics form one na two mwaka 2005 yaani nimeshangaa kuona yupo vile vile hajabadilika hata nukta wakati mimi ni jibaba na kitambi juu.
Labda mwlm mpya ndie atafundisha masaa tisa ila kwa mkongwe
Notisi unampa dogo we unaenda kufafanua
Kupanga matokeo unasaidiana na madogo
Jioni zoezi na madogo
Shambani unaenda na madogo unawaandalia uji na viazi
Usafi vinakufanyia
Na ugomvi navyo huwa sio mkubwa sana kwani mnasamehe maisha yanaendelea
Kwa kweli ualim ni raha maana hata kipato ni kidogo ila huachi kuwafundisha madogo maana ndio marafiki wenyewe
Karaha zipo ila sio kivile
Kweli aisee... Mwalimu aliyenifundisha sekondar nimekutana naye... Mie ndio naonekana mzee. Sijui wao ni zile kupata stress remover ktk mambo waandikayo wanafunzi ktk majibu ya mitihani nk!Habari,
Miaka nenda rudi walimu huonekana vile vile tangu nilipomuacha akifundisha.mfano miez ya juz hapa nilikwenda marangu kilimanjaro kuzika bibi yangu ambae alikuwa na miaka 112, baada ya msiba tukiwa tumekaa mahali alipita babu wa umri kidogo asie na fimbo ya kutembelea nilvyomkadiria kwa haraka nilhisi ana 95....la haula! Nilisikia sauti ya baba yangu mzazi akiitikia salamu kutoka kwa yule mzee na walisalimiana kwa dakika nne hivi.
Basi alivyopiga hatua nilimuuliza maswali huyu ni nani? Alinijibu huyu ni mwalimu wangu shule ya msingi, ila alistaafu mwaka 1978 kipindi hicho nilkwisha hitimu shule muda.
(Kumbe nilvodhani miaka yake ni 95 si kwel ni anazaidi ya 107 na kuzidi) kumbuka hana hata fimbo ya kutembelea
By the way IPO mifano mingi tu ya walimu wanaotufundisha, unakuta MTU umemaliza shule ya msingi, sekondar, chuo, ukaanzisha familia, na ndan ya familia ukabarikiwa na kuongeza kizaz kingine lakn mwalim yupo vilevile
Wakuu walimu wanasiri gani ya kutokuzeeka mapema?
Kwani kuna ubaya kuwa kijana???Kama huo mwaka 2005 ndo ulikua form less, kweli JF tuna vijana wengi sana
Ni kweli kabisamkoa wa klmanjaro ndio unaongoza kwa life expectancy kwa mujibu wa takwimu
kunakaukweli ndani yake.Habari,
Miaka nenda rudi walimu huonekana vile vile tangu nilipomuacha akifundisha.mfano miez ya juz hapa nilikwenda marangu kilimanjaro kuzika bibi yangu ambae alikuwa na miaka 112, baada ya msiba tukiwa tumekaa mahali alipita babu wa umri kidogo asie na fimbo ya kutembelea nilvyomkadiria kwa haraka nilhisi ana 95....la haula! Nilisikia sauti ya baba yangu mzazi akiitikia salamu kutoka kwa yule mzee na walisalimiana kwa dakika nne hivi.
Basi alivyopiga hatua nilimuuliza maswali huyu ni nani? Alinijibu huyu ni mwalimu wangu shule ya msingi, ila alistaafu mwaka 1978 kipindi hicho nilkwisha hitimu shule muda.
(Kumbe nilvodhani miaka yake ni 95 si kwel ni anazaidi ya 107 na kuzidi) kumbuka hana hata fimbo ya kutembelea
By the way IPO mifano mingi tu ya walimu wanaotufundisha, unakuta MTU umemaliza shule ya msingi, sekondar, chuo, ukaanzisha familia, na ndan ya familia ukabarikiwa na kuongeza kizaz kingine lakn mwalim yupo vilevile
Wakuu walimu wanasiri gani ya kutokuzeeka mapema?
Nawe soma sana vitabu mkuuMkuu umemaliza kila kitu! Asante sana japo sijuhi kama wengi wetu tuakuelewa!
Siku hizi tumepoteza kabisa great thinkers. Watu wanaanzisha topic ambazo hazina mantiki yoyote.
kuna mmoja tuko naye wa second world war kapigana vita ya kagera,kastaafu ila bado anapiga ngeli za malkia shule moja kwa ku volunteerHabari,
Miaka nenda rudi walimu huonekana vile vile tangu nilipomuacha akifundisha.mfano miez ya juz hapa nilikwenda marangu kilimanjaro kuzika bibi yangu ambae alikuwa na miaka 112, baada ya msiba tukiwa tumekaa mahali alipita babu wa umri kidogo asie na fimbo ya kutembelea nilvyomkadiria kwa haraka nilhisi ana 95....la haula! Nilisikia sauti ya baba yangu mzazi akiitikia salamu kutoka kwa yule mzee na walisalimiana kwa dakika nne hivi.
Basi alivyopiga hatua nilimuuliza maswali huyu ni nani? Alinijibu huyu ni mwalimu wangu shule ya msingi, ila alistaafu mwaka 1978 kipindi hicho nilkwisha hitimu shule muda.
(Kumbe nilvodhani miaka yake ni 95 si kwel ni anazaidi ya 107 na kuzidi) kumbuka hana hata fimbo ya kutembelea
By the way IPO mifano mingi tu ya walimu wanaotufundisha, unakuta MTU umemaliza shule ya msingi, sekondar, chuo, ukaanzisha familia, na ndan ya familia ukabarikiwa na kuongeza kizaz kingine lakn mwalim yupo vilevile
Wakuu walimu wanasiri gani ya kutokuzeeka mapema?
Siku hizi husemi tena "haituhusuu"
Nimeshazungumza mara nyingi sana hapa mpaka nimechoka. Hata leo, nimetoa komenti za "hayatuhusu. This is your private business". Ukipitia makabrasha ya leo utaona komenti zangu. Ahsante sana.
Kama Jokate.Kama huo mwaka 2005 ndo ulikua form less, kweli JF tuna vijana wengi sana