Kuna siri gani walimu kutokuzeeka mapema?

Kuna siri gani walimu kutokuzeeka mapema?

1978 namaliza la saba cha kushangaza mimi nimezeeka kuliko hata walimu wangu walimu hebu tuambieni mna nini mbona hamzeeki
Mm mwenyeww ndo maana nimeuliza mkuu hahaha huenda wako blessed zaid
 
Walimu ni kundi kubwa la watu masikini lakini linalo pata mibaraka tosha ebu fikilia mwalimu anaweza kupata Shikamoo 2000 kwa wakati mmoja na kumbuka wanao mpa Shikamoo mwl ni watoto wasio na dhambi
Duuuuu,,,,
 
Kipindi Cha Kampen Alikua Anahojiwa Mwl Mkuu Alie Mfundisha Lowasa Yan Bdo Young Kbisa Kuliko Hata Lowasa Mwenyewe,,, Ngoja Nibadili Facaty
Kumbe uliona ile mkuu[emoji1] [emoji1]
 
sababu ni
1.KUTOKUA NA STRESS,MUDA MWINGI MWALIMU HUUTUMIA AKIWA SHULENI NA WANAFUNZI DARASANI.ANAKUWA NA FIKRA ZA.KUTEKELEZA WITO KAMA NDIO WAJIBU WAKE HATA KAMA KAACHA WANAE BILA UJI.
2.KUONGEA,KUTABASAMU NA KUCHEKA KWA MUDA MREFU

3.MAZOEZI YASIYO NA MUDA MAALUMU WALA KIWANGO YA KUINGIA MADARASA TOFAUTI TOFAUTI KUTWA NZIMA NA BADO SHUGHULI ZA NYUMBANI KWAKE BAADA YA KAZI
No mbili, hapo walimu wengi wako hvoo
 
Kwenye mavazi hua wana niacha hoi,back in the days kuna mwalimu etu alikua anavaa nguo week nzima hizo hizo
 
Hunihulumii Mkuu Walim Walivyo Weng Mtaani Wakisubili Ajira,, Nimebadili Ntaoa Mwl , haendi 9t wala hana vikao na boss
Mwl hana night, hana kusafirsafir rut kapewa na boss cjui, labda anaenda kushaisha mitihani, kurud nyumban zaid ya SAA 11 huyu ni wakuhojiwa zaidi, muda wa kulea familia,,,,
Hata alie oa mwalimu wengi wao unakuta wanaenda vizuri tu

Mfano: askar waliowengi wameoa mwalimu,
Viongozi waliowengi wameoa mwalimu, kada za afya waliowengi wameoa mwalimu,
Wafanyabiashara, na walimu kwa walimu wameoana

Ila wananidham kwwnye malezi huez kusikia ndoa imevunjika ovyo,,,,
Yaani walimu,,,
 
women,war and wine
Kazi za watu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] acha tu mkuu
 
Back
Top Bottom