Kuna Siri Gani Kwenye Ukoko Wa Wali....!!!???

Kuna Siri Gani Kwenye Ukoko Wa Wali....!!!???

embu tutoleee uzee wako hapa kama ukoko wale kuku na pumba,kuchakaruchakula jalajalani afanye nani??? Na kwa taarifa yako hakuna dhambi kubwa kama kutupa chakula kuna wengine hata huo ukoko unaoita wa kuku hawajaula mwaka mzima.
Jamani eee ukoko na maharage tena kama alivyosema mdau upike kwenye jiko la mkaa aiyaaaaaa.Jioni napika wali maharage ntawabakshia ukoko

Hodiiii. Jirani amu nimewahi mapema kabisaa. Maana naona nikisubiria kuitwa nitakuta donlucchese kaweka maji...lol
 
Last edited by a moderator:
embu tutoleee uzee wako hapa kama ukoko wale kuku na pumba,kuchakaruchakula jalajalani afanye nani??? Na kwa taarifa yako hakuna dhambi kubwa kama kutupa chakula kuna wengine hata huo ukoko unaoita wa kuku hawajaula mwaka mzima.
Jamani eee ukoko na maharage tena kama alivyosema mdau upike kwenye jiko la mkaa aiyaaaaaa.Jioni napika wali maharage ntawabakshia ukoko

Baeleze baeleze mkuu!
 
karibu jirani ndo nafunikia wali subiri nkupe juice ya passion ushushie

Hahaha mkuu M.E.M.A mi nshawahi sufuria mkuu sababu wahenga walishasemaga jungu kuu halikosi ukoko.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa.... Yaan nimecheka kweli! Kuna shemeji yangu mume wa sister, yeye akipikiwa wali lazima awekeww na ukoko kidogo kwa pembeni yaan bila huo hajala wali!!!!!

Ila jamani ukoko mtamu aiseeeee.... Tena uwe umeungua kiduchu na kuwa wa brown!!!!
 
Wakuu
its not meant to be a humorous thread ila kiukweli tangu nianze kula wali aisee hakuna kitu nakikubali kama ukoko. Kabla ya yote kuna aina kuu mbili za ukoko, wa juu na wa chini. Hapa ninaozungumzia haswaa ni ule wa chini. Aisee sijui hua kuna siri gani ya upishi inayofanya niupende ukoko. Yani tangu zamani nyumbani unazuga zuga ili uwe wa mwisho kupakuliwa ulie kwenye sufuria ili ufanye mchakato wa ukoko. Halafu ukoo hauna finite time, mda wowote tu unaweza ukagonga fresh. Usiombe asubuhi uamke na kiporo cha ukoko halafu unafanya kama kukimwagia maharage hivi, unaweza ukawa unakula huku unatoa chozi la furaha. Vile i know obviously kwamba we differ as we come from different backgrounds like kuna those privileged ambao since childhood 'chamzaramo' (wali) was on daily basis lakini pia kuna those like us ambapo kula wali was a blessing n' you'd expect all kids kuoga mapema na kucheza not far from home ili kiiva tu then moms hato-shout kwa sana coz mtakua mpo around.
All in all, ukoko ni mtamu, na naupenda sana.

Hahahaaaaa kwa vyovyote hukosi kitambi wewe, kiporo cha ukoko na mandondo kwa vitambi ndio wenyewe, anyway naupenda pia japo ule wa juu hasa wali wenyewe ukiwa umepikwa kitanga na nazi
 
ukoko mtam bhana na ule mchuzi uliobakia chini ya sufuria ambao nyama kama zimesagika flani,unakula huku unasinzia
 
Kule kwetu ukoko ni dalili ya mahaba, cha alikiba kabla hakijapakuliwa ukoko huwekwa pembeni na kulowanishwa na mchuzi hicho ni chakula spesheli cha baba, na kama ni kwa mama ntilie mpenzi wale huwekewa mahaba Yani ukoko
 
crispyricewithleeks_8386.jpg
 
Hahahaaaa.... Yaan nimecheka kweli! Kuna shemeji yangu mume wa sister, yeye akipikiwa wali lazima awekeww na ukoko kidogo kwa pembeni yaan bila huo hajala wali!!!!!

Ila jamani ukoko mtamu aiseeeee.... Tena uwe umeungua kiduchu na kuwa wa brown!!!!

Hahah mkuu shem wako mkare. Ila sio siri ukoko achana nao kabisa!
 
Hahahaaaaa kwa vyovyote hukosi kitambi wewe, kiporo cha ukoko na mandondo kwa vitambi ndio wenyewe, anyway naupenda pia japo ule wa juu hasa wali wenyewe ukiwa umepikwa kitanga na nazi

Hahah mkuu mie na bodybuild ila ukoko na uelewa sana. Wajuu ni mzuri ila wa chini ni hatari zaidi!
 
Back
Top Bottom