Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,371
mapenzi ya ukoko hayaSitaki kuamini kama ukoko unawafanya watu wang'oe magoma kiulaini humu ndani. Shikamore Ukoko!
mapenzi ya ukoko hayaSitaki kuamini kama ukoko unawafanya watu wang'oe magoma kiulaini humu ndani. Shikamore Ukoko!
mapenzi ya ukoko haya
kwani we unazungumzia wa pilau?kuna tofauti kati ya ubwabwa na wali?
Ubwabwa(wali tepetepe/bondo) wanapewa wanaonyonyesha(wazazi),watoto wasioweza kutafuna na vibogoyo wasiokuwa na menoUbwabwa bondo ni ule uliepikwa maji yakazidi ukakaribia kuwa ugali lol...
Ubwabwa(wali tepetepe/bondo) wanapewa wanaonyonyesha(wazazi),watoto wasioweza kutafuna na vibogoyo wasiokuwa na meno
aaah huo kama mbege sijawahi kulaUbwabwa bondo ni ule uliepikwa maji yakazidi ukakaribia kuwa ugali lol...
aaah huo kama mbege sijawahi kula
Kwa kweli mjitahidi tuu, msije sema sikuwaambia. Na kama ukubwa wa sufuria ndio wingi wa mvua..aisee sahauni habari za boti na mitumbwi na mchonge safina.
hahahaaa mbona nahisi kuzama kabla sijaingia majini lol. Siji mie
donlucchesekwa hiyo hapa nani anataka kunipa ukoko?
Njoo tu. Utakuwa kwenye kikosi cha huduma ya kwanza..