Sawa mzee, ndomana like I said before, we come from different social and ethnical backgrounds hahaha! Roho ya kimaskini my foot!
embu tutoleee uzee wako hapa kama ukoko wale kuku na pumba,kuchakaruchakula jalajalani afanye nani???ukoko na maharage tena kama alivyosema mdau upike kwenye jiko la mkaa aiyaaaaaa.Jioni napika wali maharage ntawabakshia ukoko
Hahahaaaa.... Yaan nimecheka kweli! Kuna shemeji yangu mume wa sister, yeye akipikiwa wali lazima awekeww na ukoko kidogo kwa pembeni yaan bila huo hajala wali!!!!!
Ila jamani ukoko mtamu aiseeeee.... Tena uwe umeungua kiduchu na kuwa wa brown!!!!
nimecheka sana maana umenikumbusha mbali ukoko wa wali au sufuria la ndizi acha kabisa yaani unavizia mama akimaliza kupika tu mi na mdogo wangu tunawahi sufuria duh.ni mtamu sana sista angu ye alikuwa anapenda wa ugali ule uliokaukaa anautafuna ka biskuti
Kheri yako wewe sio mmero!!:smile-big:kwangu usijali mimi49 mpaka utashiba vizuri
Obsessive compulsive behavior!Pole sana.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ukoko mtamu na harufu yake pia nzuri. Na hasa uwe wali ulokolea nazi, kwa harage au mchicha wa nazi.
Mi ukoko wa tambi, na boga pia twende.
Yani kama tambi huziacha zishike chini kwenye sufuria ili nipate ukoko
Utamu unaongezeka pale unapoula upo mwenyewe yayamiombe aiseee basi tu,,nakumbuka chuo nilikuwa napita mrango wa nyuma kuomba ukoko kila wikend watu wakajua nimefulia ila wanashangaa usiku nawapa ofa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hahahaha kumbe kwa zamu lol....ila kwa ukoko lazma uwe na lita 1 ya maji pembeni..
Ila pamoja na utamu wote wa ukoko, SIPENDI KUOSHA SUFURIA!
Ila pamoja na utamu wote wa ukoko, SIPENDI KUOSHA SUFURIA!