Kuna Siri Gani Kwenye Ukoko Wa Wali....!!!???

Kuna Siri Gani Kwenye Ukoko Wa Wali....!!!???

Itabidi mama ntilie au kwenye mahoteli wauze ukoko
 
kwa jinsi alivouelezea, sidhani kama yuko tayari kumgawia mtu

Naomba kumnukuu "ukiwa umechanganywa na ule mchuzi wa chini ule unaweza ukatoa chozi". Nakuunga mkono huo hamgawii mtu...lol
 
Naomba kumnukuu "ukiwa umechanganywa na ule mchuzi wa chini ule unaweza ukatoa chozi". Nakuunga mkono huo hamgawii mtu...lol

Hahaha mkuu naona umeninukuu kabisa ila kiukweli swala la kumpa mtu ukoko linataka moyo kwani ni jaribu kubwa sana!
 
Kwa kweli mjitahidi tuu, msije sema sikuwaambia. Na kama ukubwa wa sufuria ndio wingi wa mvua..aisee sahauni habari za boti na mitumbwi na mchonge safina.
jamani duuuuu wewe mtu una vitukoo nmeipendaa
 
Back
Top Bottom