shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Hahah kweli tena mkuu, ushawahi ujaribu ukoko wa tambi?
huo bado inabid niufanyie kazi
Hahah kweli tena mkuu, ushawahi ujaribu ukoko wa tambi?
Uvivu huo...
Siku hizi nakaa na sufuria kabisa. Ukawepo msemo kwamba "mwanaume ukilia kwenye sufuria mvua kubwa itanyesha siku ya harusi yako"...nikawaambia hiyo siku ya harusi yangu mje na boti kabisa.
Nimeaghiri naenda kwa 24hrs we nakuacha na uroho wako loh!!Nakutania mwaya. Haya njoo tuchore mpaka. Wewe upande huo na mm upande huu.
hahahaaa......... Ngoja tuchonge boti mapemaaaa lol
kwahiyo unanibeep to eehKheri yako wewe sio mmero!!:smile-big:
kwahiyo unanibeep to eeh
aaah sidhani kama yupo cheap hivo kama navyomfahamHuyu ngoja nimfanyie "muujiza wa laki 2"...uone kama utapata hizo beeps...tehe
He he he halo halooooo naona raha kabla hata sijalishwa mtoto wakike shurti udekezwe :smile-big:njoo mimi49 tena nakulisha mwenyewe
Gooood booooooy kumbe umenisoma ehhhhh umenifurahisha sana leo 24hrs!aaah sidhani kama yupo cheap hivo kama navyomfaham
kwani we unazungumzia wa pilau?kuna tofauti kati ya ubwabwa na wali?Hahahaha huo ukoko wa ubwabwa bondoooo..
aaah sidhani kama yupo cheap hivo kama navyomfaham
umeona eeh,unalishwa,unabembelezwa,basi utajikuta unalalamika tu kwa sauti lainiHe he he halo halooooo naona raha kabla hata sijalishwa mtoto wakike shurti udekezwe :smile-big:
nilishajua mkuu,mngoja nimpe ukoko wenye mchuzi mzito nimpakate nimlishe kama mtotoAaaaaah nilikuwa natania tuu..lol