Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

Humu umeandika kimihemko saidi. Hayo madude yanaleta hasara sana. Kuna mabwawa mwengi sana hapa afrika hayafiki hata miaka 25.
 
Hizi PhD zingine Zina ukakasi Sana, mapungufu katika andiko hili mengi kama walivosema wengine, ila Lina uwezo wa kuvuta hisia kali za watu weusi (politics of anger) ambazo zimerudi kwa nguvu Sana hapa karibuni. Kwa namna ilivyoandikwa inaonyesha mtu mweupe asingejenga bwawa la umeme hata moja, lakini mengi tu walijenga wao,kama Cabora Bassa.HapaTz nasikia wao walibuni na kufanya survey maeneo karibu yote wakiwa wakoloni, sisi tunafanya kumalizia tu.Tusiwe na chuki kiasi hicho,tungekuwa sisi hata physics na hesabu tusingewafundisha wazungu.
 
lete evidence za kisayansi kwamba ujenzi wa bwawa umesababisha mvua za vuli kukosekana
 
Ndio km walioandamana France kupinga ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, hv statistically uharibifu mkubwa zaidi wa mazingira upo Ulaya or Africa??
Wana mazingira hao hao ndio waliotumika na Russia kupinga matumizi ya nyuklia Ujerumani km chanzo cha nishati

Sasahv, ujerumani ni tegemezi ktk gas ya Russia!!
Na analazimika kuinunua no way out

Na sio COINCIDENCE kuona kasi ya mradi wa Nyerere gorge imepungua baada ya Mwendazake kufariki

Miradi mingi ya Africa(mikubwa) inahujumiwa
 
Back
Top Bottom