ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Wabongo kujikuta wanajua eti takwimu unataka takwimu zipi akati watu wanashuhudia hapa
Mamangu alifanyiwa city scan jumatatu jion wanangojea daktar wa kuisoma kutok muhimbil aje jumatatu ya wiki inayofuata. Maza akangojea mpaka jumapil akaamua apumzike mweeh it was too much. Wanambadilisha kitanda tuu.
KAMAMZAZI ALUKUSOMESHA SHULE ZINAZOFELISHA namashaka na uwezowako.....uwezi kuendelea nidili nahospt zinazoua kwa oper kisa lugalo nao wanaua.. hii niangalizo usiangalie nbiasharayamjomba.. mama. shangazi angaliayafuatayo uhaiwawatu nenda kashauri wabadilike wasikimbiliehela za operation kunanjia kibao.....
Ntaruditena
Mkuu tukipata Data zaidi itasaidia zinazohusu % ya wagonjwa waliokufa as as result of those surgical procedures, na vilevile tukipata data za ulinganifu na Hospitali nyingine itasaidia sana....! Kufanikiwa au kutofanikiwa kwa malengo ya Surgery hakutegemei utaalamu au vifaa vilivyoko kwenye hiyo hospitali tu, kuna patient factors ( eg individual prognosis before surgery) na mambo mengine! Tukianza kugeneralize hivi italeta shida kubwa....Tupate data za ulinganifu (failure vs success rate) ya Kairuki Vs Hospitali nyingine na ulinganifu huo uoane na aina za Surgery zilizofanyika! Vilivile kifo kinaweza kukuta popote, wodini nyumbani n.k. ila poleni wote mliopoteza wagonjwa kwa njia yoyote ile ikiwemo inayojadiliwa sasa. Najua kuna wataalamu zaidi nao watachangia kwani issue hii ni very sensitive! Let us be objective!
Naomba kujua kama Aga Khan wameanza tena kupokea wateja wa NHIF.
Tafadhali sana jamani kwa anayejua anisaidie. Nina dharura sana.
ni mwaka Jana December nilimpeleka Mzee wangu pale..akiwa na tatizo la pressure na kisukari..akalazwa pale.wakamfanyia vipimo vya ct scan xray na ultra sound...majibu yakatoka Kuwa Mzee ana Kansa na tayari imeshaozesha mapafu,maini,utumbo mwembamba...nikajiuliza mbona dalili za kansa hana na anatembea na kula vizuri na pia kuongea!!tukabishana iweje viungo vote muhimu view vimeoza na Mzee haoneshi dalili za kuwa na Kansa...nikamuuliza Dr nkemerwa kairuki cjui ndo mtoto wa hay at kairuki juu ya hyo Kansa...ckujibiwa vzur baadae..wakat Niko pale naongea na Dr nkemerwa Kuna Dr mwingine wa kike alimwambia Mzee Kuwa una Kansa na imeozesha INI na mapafu...mzee pressure ikashuka na hatimae akarudi nyumbani kwa baba muumba.......mpaka Leo cna hamu na Hosp ile..
kiingereza kilikuja na meli jamani,sio lugha yetu hivo usishangaeHeal na Hell siku hizi zina maana 1 eeh
Hilo lina ukweli kwa upande wangu ndugu yangu alifanyiwa laparatomy...hakutoka
Hii si ndo ile hospitali mmliki alikuwa anawalamba wagonjwa?
hakutoka nje ya hospitali au aliresti ini pisi?
Duu! Sikuwahi kupata hadithi ya msiba wake. Kama kweli kuna moto baada ya kufa kuna wengine naamini watakuwa wanachomwa zaidi. Kwa unyama kama huo aliokuwa akiwafanyia masikini alistahili adhabu hapa hapa duniani.siyo kuwalamba tu bali hadi insects wake nao aliwaachia. wewe unadhani yale machozi msibani hayakuwa na maana nyingine?
hawjaanza aisee
Baba yangu mzazi syxtus mwanambuu nimemzika tarehe sita mwezi uliopita, alikuwa na diabetes wakaanza kukata vidole then wakasema akatwe mguu chini ya goti kidonda kilikaa miezi miwili wakashauri akatwe juu ya goti wakati huo hali imeshakuwa worse na ishatumika 14 million ikabidi tukimbilie aga khan,walijitahidi sana lkn ilishakuwa too late, huyo dr muganyizi hajui kitu lkn mjuaji sijui kwa kuwa ni family business, hii hospital ni janga kiukweli
Mkuu unasema?...daah.
sina imani hii habari...
Naomba nikupinge mkuu, mama mjamzito anapopata kifafa cha mimba njia ya kubwa ya kumfanya asipoteze uhai ni mtt kuzaliwa. So mama akiwa kwenye iyo hali lzm afanyiwe operation sababu anakua hawezi kupush...nikiwa kama mhanga wa kifafa cha mimba waliwai kunifanyia operation nikawa salama mimi na mtotoHakuna na jambo la kawaida na ifanyike operation inapobidi, baada ya njia nyingine zote kushindikana, kwa mfano mtu aliyepata kifafa cha mimba huwezi kukimbilia kumfanyia operation unammaliza, hilo lilinitokea binafsi na watu wengine wawili pale kairuki Mimi nikagoma nikamhamisha mgonjwa kumpeleka muhimbili alipona bila operation wenzangu walipoteza wapendwa wao
Tulienda pale watu watatu wote wagonjwa wetu wakiwa na tatizo linalofanana kifafa cha mimba, wakaforce operation, mimi nikakataa nikamhamishia mgonjwa wangu Muhimbili, mgonjwa wangu aliponea muhimbili, wale jamaa tuliokutana nao pale wagonjwa wao walifariki baada ya kufanyiwa operation, na waliletwa muhimbili ikiwa too late