Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,647
Tulienda pale watu watatu wote wagonjwa wetu wakiwa na tatizo linalofanana kifafa cha mimba, wakaforce operation, mimi nikakataa nikamhamishia mgonjwa wangu Muhimbili, mgonjwa wangu aliponea muhimbili, wale jamaa tuliokutana nao pale wagonjwa wao walifariki baada ya kufanyiwa operation, na waliletwa muhimbili ikiwa too late